filmov
tv
Afya ya Akili kwa Kuingia Nchini - Kiwewe ni Jeraha la Akili
Показать описание
Video hii inawalenga wahamiaji wenye asili ya ukimbizi. Video hii ni sehemu ya mfululizo wa video zenye lugha nyingi inayoitwa Afya ya Akili kwa Kuingia Nchini (Mielenterveyttä Maahantuloon). Katika video, daktari huelezea jinsi uzoefu wa kutisha huathiri mwili na akili. Kiwewe cha kisaikolojia husababisha dalili gani na kiwewe kinawezaje kutibiwa?
Video ina tafsiri za mazungumzo katika Kiswahili cha Kongo. Unaweza kuonyesha tafsiri za mazungumzo/kutozionyesha kwa kubonyeza ikoni ya tafsiri za mazungumzo yaliyomo sehemu ya chini ya video.
#afyayaakilikwakuingianchini #afyayaakili #uhamiaji #ukimbizi #jifunzejuuyatibayakiwewe #kiwewe #dalilizakiwewe #kuwakatikahaliyakiwewe #usaidizi #akili