Fahamu sababu za ukosefu wa nguvu za kiume

preview_player
Показать описание
Baadhi ya wataalamu wa afya nchini Tanzania wanakiri kuwepo kwa ongezeko la watu wenye matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume.

Hali hii imeelezwa kuwa chanzo cha baadhi ya watu kuamua kutumia dawa za kisasa na hata za mitishamba ambazo mara nyingi zinakuwa hazijafanyiwa utafiti wa kutosha, hivyo kutotibu tatizo.

Mwandishi wetu Aboubakar Famau amefanya mahojiano na daktari bingwa wa mfumo wa mkojo, Remigius Rugakingira kutoka hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo jijiji Dodoma na kwanza alimuuliza nini hasa maana ya upungufu wa nguvu za kiume?
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yaani nimepata elimu kubwa sana aisee maana tunadanganywa na mengi sana

mwljuliuskiwovele
Автор

Nasubiri kwa hamu kuipata elimu hii maana ni tatizo kwa wengi

mwljuliuskiwovele
Автор

Pia ukipata chanjo ya pili ya corona, , mambo yanafunguka

h.alshidhani