MISSION IMPOSSIBLE [32]

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tim chado wote inabidi tumshukulu mungu kwa kuiyona siku ya leo maana kuna wengi walitamani ila aikuwa bahati 🙏🙏

jumabintie
Автор

Mimi leo nataka like ya chado mwenyewe ili tuone kama huwa anafwatilia mashabiki zake 🎉

mariamdjuma-dy
Автор

Daah chado unajua mpaka unajua tena yaani nimeangalia move nyingi sana rakini sijawahi kuona story iliyotulia kama hii story yako yaan ni package ya kutosha kuna seriously story kuna comedy story na kuna love story UMEUA kinoma chado ww kweli KITENGO nakukubali sana your UNSTOPPABLE MAN nakubali kazi zako💪💪💪💪💪

SONGA_TZ
Автор

Chado masta kitengo watucheleweshea mzigo wabongo tupo kenya twakutizama kila kona og sana mpambambanaj kitengo mastaaa❤

SaidoAmani-qt
Автор

NAJMA
Una kaka tena kaka na nusu 😢😢😢ame ongea maneno machache ila ni mazito sana kama una akili uta muelewa

Leilafsadick
Автор

Dogo ngwengwe kaua sana mungu abariki kipaji chake

mahmudymndeme
Автор

Movie zengine ngwengwe msimuache jaman anawerza atar, yaani akiwepo yeye ndo i like, Mozambique

SunezaDiciman
Автор

Ambao tunahis ng, wen, gwe ni mtoto wa chado like hapa tujuane ❤🥳🥳🥳👋🤚🖐✋🖖🤏✌🤞🤟🤘🤙👈👈

mohamedlopa
Автор

leoo nmechekaa😂😂 sana jamnii cheusii kakimbiliaa police 😂😂😂😂hayo mambo ndy i like 😂😂

JohnsonMgimwa-dhgq
Автор

Yaniii chado anavyoongeaa na cheusi kwa uchunguu mpkaa ina Touch kwa moyo cheusi anamkimbiaa baba yake jaaaamn😂😂😂

SayunjKalinga
Автор

We @chado mm leo ndo wakwanzaa nakupenda mno

raymondngilangwa
Автор

Pia ngwengwe na mama yake wapo vizuri fanyeni kila siku kitoke kipande kimoja kimoja hitakuwa

AminataSelemani
Автор

Yaani nguengue ni Noma sana pokea Maua yako fogo ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

OmarAssira
Автор

Tunawapenda sana wote kazi zuri sana ❤❤❤ from south Africa

MemoryKamutandi
Автор

Cheusi amejua kunichekesha leo😂kaona ajisalimishe police, 😅😅ila nimefurah alivyochomoka kwa chado, kazi nzuri jaman Chado Master Film mmetisha!

estermtai
Автор

Maneno ya hisia na makali sana mzee wa misumari kwa kidemu jau😢😢😢

freddywizzyTz
Автор

Aya nimechelewa mnatakaje ata like 30 from kenya

BarakaDavid-uqxc
Автор

Wanang wa mission impossible like nying kwa chado master

AbaidiiniNgweti
Автор

Chado master mission impossible bonge moja la movie brooo unajuaa ✌️💯💯

ShabanKaoneka-gy
Автор

Yan namkubali san haka kadogo kana jua tena kana jua tena mashallah mso coment vitu Vya maan nyinyi mawakoment ujinga tu mambo nq like ndo nn ss oya chado nakukubali l tena san oya mno mkubali chado NA dogo

LatifaTayfa