MISSION IMPOSSIBLE [31]

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Maisha ya ngwengwe na mather wake yananikumbusha mbali sana wanao kubali sini ya ngwengwe na maza wake wa gonge liki za kjzidi apo fyade

MgSmart-kd
Автор

Kwa kweli uyu dogo gwegwe anajua sana mungu amubariki afike mbali

EmmanuelCharo-toij
Автор

Eeeh mola jalia familia ya Chado group na mashabiki, watazamaji wote Afya njema Kwa Iman yeti sote tuseme, Amen🙏🌍🌴🌹😍🎉🎉❤❤

Dullant
Автор

Jamani maneno ya ngwengwe aki ongea na Mama yake yame nigusa hadi kunitowa machozi pleasse chado naombaa kila utakacho tuletea lazima ngwengwe awemo

RozeteBasinde
Автор

Utakayesoma coment
Hii na kulike mungu akupe maisha marefu
Inshalaaaa🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲👏👏👏👏

mohamedlopa
Автор

E mwenyez munguu mbaliki kila atakaesoma sms hii umpe maisha marefu amina

AnthonyAbdi
Автор

Makovi Kwa ngwengwe 👏👏👏 kidogo lakini kabaunda deal kinoma noma🎉🎉🎉❤

BothainaBothaina-kc
Автор

Jamani mnaonaje huu mzigo uwe unatoka Kila siku💥💯💥💯

nikocharles
Автор

Wnaomkibali mzee wa misumali wakongelee like apa💪🎉🎉

AllySadal
Автор

Inatakiwa ikifika final hii series inatakiwa ngwengwe apewe tuzo yupo vizuri sana huyu mtoto anafurahisha ana akili ya kipekee sana❤

PeterNguno-wr
Автор

Vijana msije mkaiga anachokifanya chado sio mabinti wala wanaume serekali ipo macho naadhabu yake nikali mno endapo ukibainika mungu tulindie mabinti zetu na vijana amin

ZaidiShabani-qy
Автор

Aliona kitu Leo kuhus ngwengwe na mama ake..gonga like hapa 😊

FaithFrank-ytxm
Автор

Nampenda sana mama Gwegwe😅😅😅😅😅🎉🎉much love mama ❤️ 💕 💓

LovyOriato
Автор

Najma angeigiza kua na msimamo wa kusoma na kumkatalia chado ili iwe funzo kwa wanafunzi wengine # all in all kazi safi sana 🎉🎉🎉

aishaomar
Автор

Cheusi cheusi cheusi yaan huna kaba mwamba duuhh asee unazingua

MrishoMachaku-ii
Автор

Na kubali sana Chado master Gang mwendo Wa fastar sisi fans wenu tunainjoi sana

chiefnumborecords
Автор

Hii movie Ngwengwe ndie anae nifurahisha zaidi kabisa

hassancharles
Автор

Family means no one gets left behind or forgotten ", I really like this kind of the family 😍 appreciate to Ngwengwe for the love is showing to her mum😂😂 very operating and true love for here mum 🔥🔥

LaughKey-fx
Автор

Waliofurahia cheusi kuingia chakike tujuane😂😂😂 halafu sasa akijua chado

Zawia-yj
Автор

Jaman vibaya hivyo ndugu zangu like zenu 😢😢

Aaqwe-yiqn