MISSION IMPOSSIBLE [43]

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nimeamgalia kila movie lakini hii ni Kali Bana sema ndo hivo chado pokea Maua yako bana unaweza ❤❤❤❤❤❤🎉

BothainaBothaina-kc
Автор

Mapema ndio i wale tunaohisi manyonga anamtaka Najma kimapenzi mikono juu 🖐🖐🖐🖐🖐 big up broo good job 👍👍👍 enjoying from Kenya 🥰🥰🥰

DamarisDammie
Автор

Nimechelewa kuangalia hii movie nzuri ❤
Nawakubali ndugu zangu watanzania 🎉 from UK

AmosSinkala-lxsl
Автор

Ya Allah abaliki kila anaeiangalia hii movie mpe maisha malefu na mwisho mwema inshallah

HellySalum
Автор

Nakubali sana mwanangu shado unatoa movie nzuri

PrinceAmos-yt
Автор

JAMANI Leo WA kwanzaaa kutoka unguja amani ZANZIBAR NIPENI MAUWA YANGU 🎉🎉🎉💝💝💝❤❤❤️❤️❤️🙏

KipanyaKhamis
Автор

Master kabisa ndiyo hiyo mzigo weka likes kama unapenda kazi ya masta pia kama umeona akimfanyia ngwengwe birthday party weka likes....

arimtekerdivalwamadush
Автор

Najma kaongea point kwa kaka ake jmn nmependa sana 🎉❤

AminaLikolovele
Автор

Jamni tangu nianze kuangalia mission impossible sijawah omb like naomben na mimi Leo like vipenz

nasrachimamy
Автор

Leo nimewahi bhn kama unamkubali baga boy ❤

ShuuShebee
Автор

Haya wapenzi wa chado naombeni like Moja TU cjawah. Pata like hata moja

Wagondo
Автор

Chado umepatikana kwa mama ngwengwe wee stori yaja tamu kweli❤❤❤❤

TUNUMBWANAMZAMO
Автор

Nimekuwa wakwaza siku ya leo nipeni like zangu kwa wale wanao mkubali chago masta

YonaCharlz
Автор

Sjawa wakwanza ila ote mungu awabaliki sana sana like zenu

jikuboytz
Автор

Aiseeeh nawapenda mpk bs Mungu awe zidisho tunasubr kwa hm tn

mariamemanuely
Автор

Big up chado master flim good 👍 job munch love from 254 Nairobi Kenya 🇰🇪

suleimanmatege
Автор

Hongereni kwakazi nzuri kiukweli hii move imebaba mno

MryamHusan
Автор

Chado wacha kumfanyia hv kidem jau bwana watuboa sna kma hkuna mapenzi chado na najma bc movie itaboesha sna😢😢

HalimaKazungu-bg
Автор

leo nimekua wa kwanza kila anaingalia filamu hii mungu akamlinde na kumtia nguvu zaidi ❤❤❤🙏🙏🙏🙏

ScolaMlelwa
Автор

Mma ngwengwe ataanza kumchukia Najma kwa ajili ya chado😅😅

eshamohd