Jay Melody - Niwe (Official Lyrics)

preview_player
Показать описание
"Niwe" is a vibrant track that blends bold energy, catchy beats, and powerful lyrics, creating a sound that’s impossible to ignore.
"Niwe" is a statement: no matter what, niache niwe — let me be, let me live my life.

Stream now in all digital platforms:

Connect: With Jay Melody

@2024 Jay Melody All rights reserved
Learn more

#Niwe #jaymelody
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

This is🔥 it's all about staying true to yourself, no matter what.

jaymelody
Автор

The first Kenyan to view...si mnipe like zangu

maxxylid
Автор

If you love listing jay melody song lyrics let gather here let show some love for him

YayahTKamara-un
Автор

Ya moto sana hiii ipewe heshima yake I'm Gelly Music nafanya muziki digital platforms zote natumia Gelly Music 🎉🎉🎉🎉.

GeraldMugema
Автор

Kwa mala ya kwanza naona jay melody ana imba mapiano kali 🔥kama una mkubali jay melody like hapa

Norbethmsemwa
Автор

OYA KAMA UNAAMINI JAY KAUAAAA KWENYE HILI PIANO LA ZOMBIE .
LIKE HAPA👇

Omarykiing
Автор

Batani kunuwaka batani. Take it from a Nigerian fan, this song is one of your best. Shout out once again.

amlimited
Автор

Pongezi kwake Jay anatutendea haki mashabiki. Fans wa Jay melody karibuni na kwangu msikilize new hit yangu Mazoea. Together tunawakilisha🎉🎉

michutv
Автор

Na hvi ndivyo alivyo jay mkali wa kila ngoma gonga like kama unamkubali once again👍👍

Iddcaboofficially-CMW
Автор

Too fine, umebadirika sasa.
Ni muhimu sana msanii mkubwa kuwa versatile kwa muziki wa ulimwengu huu.

yanqeeiyiupdates
Автор

Niwe by jay melody my another favourite song 🎵 ni balaa tu umetisha sana kaka 🔥🔥🔥💪

fundiseif
Автор

Jay iyo ndiyo ninzuri ila rudi kwenye love ❤️ songs it's better for you

Beatrice-pg
Автор

Kali sana hi ngoma kali sana hi 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

chidi_don
Автор

Ni Moto🔥Kama Pasi.. Wapi ❤🎉 za 🇰🇪🇹🇿 Goma ni 🔥🔥

aaasa
Автор

Jay sikutaraji piano yako ingekua inaeza hivi, kiwango🇰🇪💯🔥

SaLo_BabChacha
Автор

oya jaymelody hiyo ng'oma umeuwa kinyamaaa mwanangu 🙌🙌🙌🙌🙌

AlexSamweli-jjtt
Автор

Kama kukubalika imekubalika, likes za Jay ❤🎉 like ukipita.

Fresko.onaicimoD_music
Автор

Always jay can't disappoint us hapa kaja na amapiano sasa wenzangu tumpatie ngapi hapa aendelee ama abaki kwa bongo flavour?? Wakenya tujuane kwa like hapa

Tetelive
Автор

S2kiz kweli ulisema ata Mimi kama ndo naanza mziki lazima iwe hit song mbeya boy wee 🔥🔥✌️🔥🙌🙌

Drancko
Автор

Big tune my brother jay melody mob love from kenya❤🎉🎉0🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

HusnaAli-ik