Diamond Platnumz Ft Mr. Blue & Jay Melody - Mapoz (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Download Mapoz👇👇👇

Diamond Platnumz Booking Info:

Video Shot By Director IVAN

Catch Up With Diamond Platnumz On:

#Diamondplatnumz #Wasafi #music
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wanyamwezi mavazi muonekano sio wale wanao vaa mitumba simba wewe sinag shaka blu ndio kabisa jay uko juu bro kijumla hili song ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

Othmansheby
Автор

Hizo @Grammy hatuzihitajiii hiiburudani tunayopata inatosha mjomba❤❤❤❤❤❤❤🎉

RojaRoja-slif
Автор

Wanyamwezi wamekutana 💯💯💯💯💯#mapozi ndio habali ya mjini 💪💪💪💪💪🇹🇿🇹🇿diamond baba lao dondosha matikiti hapo chini🇹🇿🇹🇿🙏👇👇👇👇👇👇👇

chusseboywcb
Автор

Hii ngoma Kila siku inazidi kuwa ya moto. Kama tupo pamoja gonga like❤

abiudndawi
Автор

Daaah wewe umeshindikana wakuache tu.... @Diamond Platnumz... @Mr blue ameua sana hatari sana.... Wote mmetisha yaani had Jay m

babylonemabreka
Автор

Napenda unavyo show too much love and support kwa WASANII wa enzi zile, big up sana simba, Longlife kwako pia Mr Bleu and Melody

lorexmontage
Автор

Dah Mr blue hebu upewe mauwa yako bro unaimba kinyama ❤❤❤❤

lovenessitiku
Автор

Jay Melody is the hotest uprising musician offcourse.
Mr. Blue + Diamond Platinumz are all now legends. (Full respects).🦒🦒🦒

azorheradius
Автор

❤❤kama wewe unapatiliya diamond kama mimi basi tuonyeshe❤❤

lovarbicard
Автор

Diamond's smile at 2:11 is breathtakingly contagious and genuine 😭❤️

Tanzania 🇹🇿 is proud of you Simba 🦁 of Africa 👑

Swahili
Автор

Mnanifurahisha sana kwenye mapozi we mnavyocheza.

sosomacharles
Автор

Naomba likes za wasanii wa bongo here from Kenya 🇰🇪🇰🇪

EdnaMakulo-cyju
Автор

Good Music ..good melody ... everything is good in this song ..likes for Diamond Platnumz, JayMelody and Mr. Blue....East Africa has talent ...❤

ImmahMmoja
Автор

Jay jay jay once again nko hapa juu yko much ❤❤ from kenya kenyans like tukisonga

lucydavie
Автор

Sasa msahau kutoa hii nyimbo trending number 1 ....itapiga Hadi December yaaani ni Simba la masimba dagote ...haujui love from Kenya 🌹

tomjohn
Автор

Diamond Platnumz is the greatest thing that ever happened to African will be here by 2050 celebrating the greatest African music hero ever????

suleyoumah
Автор

"Matikiti kudondoka matikiti kudondokea, marafiki huwa ni nyoka hivyo Chunga wanayongea" this verse is absolutely hitting hard guys

Freddymedia-pd
Автор

Uyu Melody n'a blou nishida kwenye huhu wimbo ❤❤❤❤

ebengapierre
Автор

Nimeskiza hii ngoma Mara kadhaa first Jay Melody amekuwa nguzo ameshuka vizuri na instrument it's like the beat was behind him alafu verse ya Mr Blue imeweza aiseeee he never disappoint much love from +254❤❤❤❤

albertpike
Автор

To all kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪lets gather here and show this dynamic duo love

HitsSongs-xc