Lava Lava - Kilio (Official Video)

preview_player
Показать описание
Set "Kilio"as a caller tune:
SMS SKIZA 8542174 TO 811 (SAFARICOM KENYA)
SMS UC TO 15050 (TIGO TANZANIA)
SMS 7558771 TO 1577 (VODACOM TANZANIA)

KILIO available:

He fell in love with her, after a while he realized that she is marrying someone else, a Prince. He is depressed, perplexed, and wondering why she had to do that to him, while bravely fighting to win her back in vain.

"Kilio" is a latest earnest song from Lava Lava, a poor young guy in a relationship with a beautiful young woman who have been snatched away by the prince who showers her with material things and protection.

The song revolves around Lava Lava wishing for her return

Video was shot and directed by Director Kenny under Zoom Production

2018, WCB Wasafi. All Rights Reserved
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ahsante Sana Kwawote Mliouliza Maswali Muda Wangu Umeisha Nawapenda Sana kwasiobahatika kuwajibu Mnisamehe Sana Msg Ninyingi Nawapenda Sana 😘😘😘

iamlavalava
Автор

Till now 2023 I'm still feeling this banger

ericballack
Автор

It's pain to love somebody who doesn't love once happened to me like ya Kenyans ndani ya ngoma👍👍👍👍👍

sukarikidogo
Автор

Jaman icho kigoma apo mwsho na lavalava saana nmekamis ikabid nirud apa October 2023....

gatimarwa
Автор

acha bongo fleva iwe yao wcb....😢😢😢👉🔥🔥🔥🔥

khamismachemba
Автор

Mashairi yametulia jamani lava lava ww utaniuwa ....luv u wcb254

mwanahamisiabdallah
Автор

Ningekuaa na uwezo ningelipa lava lava awe mwimbaji wangu binafsi...aniimbie asubuhi, adhuhuri, jioni na hata usiku...love him and his talent too

davidwakarindi
Автор

Usikose usingizi BBY npo njiani naja don cry hun nice song 👌👌👌👌👂👂💘

mreallashy
Автор

Lavalava Kila siku unaachwa wewe tu, pole ndugu yangu, wanawake siyo watu wazuri

RomanusTv
Автор

Duuuuh Lavalava hatuachi Love u brother

kemmypius
Автор

Mmmmh huyu jamaa hata sana hata Ali kiba harambi kitu. Mr love bite we ni balaa lingine kabisaaaa. #WCB4LIFE.

djgthehotstepper
Автор

Narudia tena kusema I see u to the top mwanangu

ibrahimmzee
Автор

Shenzi, hii nyimbo inamaliza bundles zangu.can't get enough of it, si data si charge, wacha niskize ikiwa kwa socket.

tsumajullo
Автор

Goma kali kinyama, WCB4LIFE 🔥🔥🔥👏👍💪💪💪🇹🇿❤

goldenfox
Автор

yaanii unanyooshaa kiswahili vizuri sana adi raha kusikia wimbo wako ongera sana daimond ongera sana kwakuwa pamoja na vijana wako

munashabanimunashabani
Автор

Ahk kitu napitia saiii mungu ndiye anajua😭😭

Natashamwende
Автор

Mapenzi yanaumiza saaana asa pale unapoutowa moyo wako kwayule umpendaye alafu mwisho wa siku ukagunduwa kwamba ana ata time nawewe kweli inauma, Thanks for the messages Lava lava, love u from DRCONGO ❤❤❤

bienvenunono
Автор

Kama unamkubali lava lava basi kesho views 1M twende sawa achia like yako WCB mwendo wa fire🔥 🔥 🔥

abdallahswedy
Автор

Lava hii ngoma ulitisha mzee, nani anaitazama hii ngoma mpaka leo????

ayoubmngarishaji
Автор

Huyu lavalava asiesuka alkuwa on fireeee💥

moharhusayn