Tukaze Roho - Lava Lava (Official Video) Sms SKIZA 8544996 to 811

preview_player
Показать описание
TIGO tuma SMS neno FS kwenda 15050
VODACOM tuma SMS 8719776 kwenda 157757

Get The Song:

Follow Lava Lava On:

Follow Lava Lava On:

#wasafi #lavalava #tukazeroho
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nyimbo ina mafunzo mazuri nayakutia matumaini katika maisha Big up sana LAVA LAVA kwa ujumbe mzito

Ali-gkmv
Автор

NILISHASEMA WEWE NDO MKALI KULIKO WOTE HAPO WCB na Unazidi kunihakikishia kila utoapo nyimbo hata boss ajipange🔥 Mkipenda wekeni like mkipenda muache ila ukweli ndo huu

snakeboy
Автор

Kama huu wimbo umekugusa gonga like hapa tukaze roho😢😢😢

haimahaima
Автор

Wakenya tukuje hapa Tz
Alafu mnisaidie na likes 50 kama the 1st artist from kenya

barakaoscarshinerboygwp.
Автор

naamini haya maneno utayasoma;
siku nyingi umekua ukiimba maswala ya mapenzi ulikua upo sawa na wengi walivutiwa na mashairi yako ila ndugu yangu huu wimbo wako kwa mwenye masikio ya kusikia basi umemtia nguvu na kuamni juu anachokifanya katika maisha yake aendelee kukaza kwani ipo siku atatoka; much rispecto @#lavalava

nassirmohammed
Автор

Lava lava never disappoints, much love from me and KENYA🇰🇪 254

cleophascleophas
Автор

lavalava good song nikukaza roho hatukati tamaa

stevtemu
Автор

tisha saana lava nazikubali song zako tukaze roho kalii ile mbaya

sawiatv
Автор

Chumba kimoja madoo
Wazazi kulala na TUKAZE ROHO

rajabumpili
Автор

Nimeipenda sana hii ngoma 🙏🏾🔥🔥 #TukazeRoho #TusikateTamaa #MunguNiWetuSote Good Music 🎶 keep it up 🙌🏾

godsonshoot
Автор

Hii nyimbo imuendee Q.boy msafi tumwambie akazee roho asilie Mungu wa kwetu sote

ezekielmanyesela
Автор

Ebana bonge la nyimbo....respect mzee wa kazi...! Nimelikubali ile ile ani

adinankhalifa
Автор

Tukaze roho .lavalava umefanya nikalia tu bure kwani huu wimbo mzuri sana

rachelkhavere
Автор

Lavalava 🔥🔥much love from KENYA 🇰🇪 tukaze roho

silawsang
Автор

Hata visenti hamsini kupata mashaka... 😥❤ Lava sikuizi unaandika kweli!

asirajay
Автор

Hii Nyimbo Ukiitazama Unapata nguvu ya kupambana na one day yes

freshtv
Автор

msanii kutoka jumba LA sanaa hua akosei wcb

mudakahmad
Автор

Nice song bro keep up tuna kaza roho mpaka last

nickasimwe
Автор

umhhh wimbo nzuri saana lavalava congratulations

ismaelmastaki
Автор

Wa tatu kuview, from somalia bongo likes na somalia nipewe likes 🖤💜❤️💞💞

poozercomedytv