Lava Lava - Dede (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Send SKIZA 8540780 to 811 (Safaricom)
Tuma 7558790 kwenda 15577 (Vodacom Tanzania) kuwa muito wa simu
Tuma herufi DZ kwenda 15050 (tiGo Tanzania) kuwa muito wa simu
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

2024 inazidi kubamba kichwani kwangu lava lava pamoja na fans wake mungu azidi kutubariki🙏🙏💞💕💯

FrankjumaNdakama
Автор

Nlikuw mdogo ikitoka lkin nasukuru leo nmekuw nanmebuy 4n yngu hta nawatch Mungu ni mwema🙏🏿🥰🥰💞

dhahabucharo-osrr
Автор

He's very underrated lavalava na vile mkali jamani...❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪Tunamtumbua na kumkubali sana

Shilasaitoti
Автор

Natamani makosa yasingekwepo tusikosanee ohh babyy ooh..
Na samahani ingekuwa kama kichekeshoo tuchekeshaneee ooh bilaa choyoo..!!!
Daahh lavalava unajua sana mistri imetulia sana ujawai kuniangusha ngoma Kali sana. Kama na ww umekubali huu mstari like pliizz

amedeuslyimo
Автор

Unae soma comments huku una watch najua hatujuani ila naomba mwenyezi mungu akuzidishie maishani 🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️😍

ramaahke
Автор

Jaman mm mnyaturu ktoka SINGAPORE kiswahili sjui lakn kmamake hii ngoma Kali ka unakbaliana na mm gongs like twende sawa

zeonlytv
Автор

nahisi huu wimbo haupewi heshima yake, bonge LA wimbo daaah lava lava unajua, siku ikifika pazia lilowaficha watu wasione mziki huu likipasuka ndo watajua we ni nani...keep Tz good music alive

stinemzalla
Автор

Simama wakuone u r my no lava uko juu kwa nyimbo za inspiration more efforts tuna mark Lalava lava on top

Thegrburarito
Автор

It is five years Now since it's First release, but it's 🔥Always repeated in My Mind. 👍A sample of a Transforming And a Romantic💛 Song... I Just love it the Way it is...❣️ A True Relevation of a True Añd pure talent... 👋Congrats Senior.👌

katanajulius
Автор

Natamani makosa yasingekuwepo tusikosane na samahani ingekuwa kama kichekesho tuchekeshane bila choyo...😇😜imeweza sana

evansckipchirchir
Автор

we chunga kauli zinaponza zitafanya tuwe maadui, Daaah lavalava am speechless kaka, mimi huwa mvivu sana commenting on youtube but kwa heshima ya kazi yako kubwa uliyofanya salute kaka Dede ndio my Treding song right now na ndio itakuwa ringtone yangu

pillofilms
Автор

Verse 1]
Niamini eeh mimi mwingine sina darling
Na sikufunzwa mbaya tabia
Mahaba niue mimi kwako chali chali
Ndani donda funza nishaga jifia
Bora kukueleza imenishinda siri
We ndo umeniweka Kiganjani
Na nikiteleza unikoshe na mwili
Chonde usije nieka visangani

[Bridge]
Nawe chunga kauli zinaponza
Zitafanya tuwe maadui maadui
Kinywa tia kufuri na macho fumba
Usije kutamani mabedui
Mabeduii iii

[Chorus]
Dede dede
Simama wakuone you are my number one
Dede dede
Sitaki mwingine you are my only one
Dede dede
Simama wakuone you are my number one
Dede dede
Mi Sitaki mwingine you are my only one

[Verse 2]
Natamani makosa yasingekuwepo
Tusikoseane Ooh babe yoyo
Na samahani ingekuwa kama kichekesho
Tuchekeshane eeeh
Oh bila choyo
Naweka wazi shahidi moyo wangu
We ndo fundi wa raha zangu
Kachumbari uzandu uzandu kwako bwelele
Mkuna nazi mwali kwa matandu
Mi pweza na ngurupandu
Unavyo mix na chachandu sinaga kwere

[Bridge]
Basi chunga kauli zinaponza
Zitafanya tuwe maadui maadui
Kinywa tia kufuri na macho fumba
Usije kutamani mabedui
Mabeduii iii

[Chorus]
Dede dede
Simama wakuone you are my number one
Dede dede
Sitaki mwingine you are my only one
Dede dede
Simama wakuone you are my number one
Dede dede
Mi Sitaki mwingine you are my only one
Dede dede
Simama wakuone you are my number one
Dede dede
Sitaki mwingine you are my only one
Dede dede
Simama wakuone you are my number one
Dede dede
Mi Sitaki mwingine you are my only one (eeh)

josephataondo
Автор

My man dedicated this song to Me I can't stop listening to it. It's do emotional 😍❤️

gracenjeri
Автор

The only bongo musician i listen too bro you are a super star ⭐⭐⭐

oliverbagada
Автор

Lava lava hii nyimbo naikubali sana aiseee walahy this deserves 100 million views...kwani Mr bite anakwama wapi

mohamedadan
Автор

WCB tiiim mimi cjuitiii kwa kweliii naipenda had naumwa kaaah mpo vzur lavlav naomba nikuite lovelove

salmaakida
Автор

Natamani makosa yasingee kuwepo tusikosanee ohh baby 😂😂"DEDE " simama wakuhone u are my number one ohh... Sitaki mwengine u are my only one 😂😂🙏🙏🙏❤❤❤ like hapa

amisisteven
Автор

Mmm 🥰🥰to whoever baby...Dede Dede sitaki mwingine you are my number one ❤️💋 like yako👍

sukarikidogo
Автор

Moto moto moto...Hata usipompenda mwimbaji, upende wimbo...strong words..

kelvinakaliche
Автор

Kachumbari uzandu uzandu eti kwako lov kwa Kweli WCB si wa mchezo mchezo

ashakalimba