Lava Lava - Gundu (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Credits to Avic Town Management for providing their location to be featured on the video

Get Gundu:

Follow Lava Lava On:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Lava lava uko poa dear, wewe ndio Simba wa kesho🤩🤩 kila la heri 🙏🙏🙏, Wapi likes za Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

nancymwanyae
Автор

Who is here 2024, nimetendwa tena 🥺😭😭am back to listen to my favourite song and am crying uncontrollable 😭😭😭😭aki moyo wangu waumia sana😣😢🥺😭😭😭😭

Nonie-upwr
Автор

Mungu ametulinda mpaka sasa 2024 yaisha wengine ambao tuliupenda wimboo huu pamoja hawamo Tena...God has been merciful to us...

patriciawanjiru-dfne
Автор

Ambayo tup. 2024 hapa tujuane kwa like

GloryJohn-nmwo
Автор

LavaLava toka kilio mpaka Leo unaliaa naww kweny majanga hayo ya wimbo wako unaniimba mm kamaanisha ww fundiii sana

janjaneston
Автор

This song really comfort me at this time when I'm heartbroken... Nimegundua ukiwa heartbroken songs huwa inakucomfort... May God bless these Artis... Please I'm just requesting for like ...

aliceanyango
Автор

Mwenye mapenzi atokee anitetee. One of the best songs from Lava Lava still here in 2023 it never fades. Raises my spirit whenever am falling apart.

bernywachira
Автор

Gonga like kubwa kwa lavalava ka we ni fan Wake toka Somalia🇸🇴🇸🇴🇸🇴

mohaweheliye
Автор

nazipenda nyimbo za lavaLAVA sana kamauko said yangu dunga like😍😍😍✌✌✌

runsdn
Автор

Kaka unaimba sauti mungu kakubariki nzuri

gshdhshhshs
Автор

No body cant ' imagine far'away WE are iwapo tunaona hawa ma stars wetu wa . Tanzania vile wanaendelea n'a music yao mizuri Sana machaallah, thé little comédiens. Mai, n'a wenzake wôte, au teseme, . Diamond. Mbosso. Ali kiba or lava lava mashaallah angaliyeni n'a wale wadogo wanaochomza sasa like yule aloimba nyimbo ya harmonize Pia nae afike mbali kwani anakipaji best of luck wapenzi ndugu zetu'
We lôving you all

sakinaabdallah
Автор

Siwezi kosa like zangu za 2024hatakama humkubali mwamba aliupigamwinga

RahmaVava-lbts
Автор

254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tupooo ila sisi hatuumizwi na gundu😂😂😂twaumizwa na mercury kwa sukari😂😂😂😂😂kazi nzuri our brother

joysonsamuel
Автор

Nakupenda mke wng japo tulitengana zaid ya mwaka lkn kwa Sasa tumekua mke na mume najiona gundu limeniisha ❤️❤️no one like u my wife sanaiya #mama fahad

depampam
Автор

This guy is equally to Diamond...Tena ni mkali kushinda Simba❣❣I am proud to be a Tanzanian🔥🔥🔥🔥🔥

lillypendo
Автор

kulia nimelia 😭😭😭nimekosa kipenda roho... penzi limenichachia gundu, ama sina bahati jini kan kanivaa, , naisi nalal na bundi.... mweny mapenzi atokeee anitetee, , liniepuke gundu....

OmanOman-gczu
Автор

Lava lava alie toa wazo la hii video ametisha sana inasisimua mwili ukimuona mtyu unaempenda yupo na mwengne kwel unais uchz

dottoabdul
Автор

M from Botswana and I listen to Tanzanian music daily I deserve an award for that. Tanzanian music is so nice

theolemmenyane
Автор

Tanzania has so much talent luv u my fellow Africans ...much luv frm Zimbabwe

briemaiashie
Автор

Kulia nmelia nkamaliza leso....napenda sana huu wimbo...wapi likes zangu

barryleger