MZEE SAID ATOA MANENO YA UCHUNGU/BOKA ANAKIMBIA KAMA UPEPO/SIMBA IKIFUNGWA NA YANGA WASAHAU UBINGWA

preview_player
ะŸะพะบะฐะทะฐั‚ัŒ ะพะฟะธัะฐะฝะธะต
๐‘ช๐’๐’‘๐’š๐’“๐’Š๐’ˆ๐’‰๐’• ยฉ2024 ๐‘พ๐’‚๐’”๐’‚๐’‡๐’Š ๐‘ด๐’†๐’…๐’Š๐’‚. ๐‘จ๐’๐’ ๐’“๐’Š๐’ˆ๐’‰๐’•๐’” ๐’“๐’†๐’”๐’†๐’“๐’—๐’†๐’….
#wasafi #wasafitv #wasafifm
ะ ะตะบะพะผะตะฝะดะฐั†ะธะธ ะฟะพ ั‚ะตะผะต
ะšะพะผะผะตะฝั‚ะฐั€ะธะธ
ะะฒั‚ะพั€

Yaan staki unafiki leo Mzee Saidi umeongea kitu ambacho hata mimi nilikuwa nakisema sana yule kocha msaidizi mweusi aliegombana na kocha wa Mamelodi kule South kisa AZIZI KII anapenda kuvaa kofia hatari sana yule mzee๐Ÿค๐Ÿ‘๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

rogersiddy
ะะฒั‚ะพั€

Ananifurahisha Huyu Mzee Nikija Tanzania Nataka Nimuone insha'Allah

muhammadmuhammad
ะะฒั‚ะพั€

Shikamoo baba, safi sana, mpira ni fact sio ushabiki

josephgalandu
ะะฒั‚ะพั€

Mzee saidi unajua mpila maisha malefu kwako

godfreysimoni
ะะฒั‚ะพั€

Can't stop watching Man...Mzee Said you make me

chemstry
ะะฒั‚ะพั€

Mzee mh wew kiboko yan unajua sana mpira

MZUGITZ-db
ะะฒั‚ะพั€

Huyu apewe๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰ maua yake anaongea point

iddykwembe
ะะฒั‚ะพั€

Hongera mzee said mm simba ila nakukubali sana

AhmedyyMicharazo-wimx
ะะฒั‚ะพั€

Jamani mm nampenda sana Mzee said nikiona akihojiwa lazima nimfatilie

mwanahamisihatibu
ะะฒั‚ะพั€

Wasafi nawapa ๐ŸŒน๐ŸŒท๐ŸŒนkwa kumleta mzee saydi

mohamedikisinga
ะะฒั‚ะพั€

Sifa nyingi zimueendee bwana mdogo Chagamba

kudramzee
ะะฒั‚ะพั€

SPORT ARENA WASAFI FM MNAUPIGA MWINGI SANA NISIWE MNAFIKI MPO JUU

SadikiMapesa-sn
ะะฒั‚ะพั€

Yan ktk siku mmetutendea hak Wana yanga n kutuletea mzee said huwa tunampenda Sana

AminaSalum-pkfw
ะะฒั‚ะพั€

Nakubari sana Mzee saidi pamojasana sana mzee๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰

RashidSuba-ot
ะะฒั‚ะพั€

uyu mzee tofauti na Kisugu na Gb64 uyu anajua mpira sana

linuslusian-dw
ะะฒั‚ะพั€

Simba inaweza kufungwa Tena kwa sababu Kuna sehemu bado mbovu beki namba 2 kapombe Hali sio Kuna Joshua mutale hajakaa poa balua pia hakabi yeye Ni kufunga awesu hakabi . Sasa ukitaka kufungwa Sana weka mutale awesu na balua wote kwa wakati moja

simonzelote
ะะฒั‚ะพั€

Hahahah mama yanguuu weee ila huy mzee

PriscaMaswaga
ะะฒั‚ะพั€

Mzee said kumbe umefika mpaka kwenye kiyoyozi!๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

kolosii
ะะฒั‚ะพั€

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ naichukiaga sana spoti arena ila leo mmenipata kupitia mzee said

alfredymalata
ะะฒั‚ะพั€

Muongezeni awe mchambuzi tena Mzee saidi ananipa Raha sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Bongoupdates