GSM NA FAMILIA YAKE BAADA YA USHINDI WA YANGA, ATOA NENO NA KUGAWA PESA KWA WALINZI BENJAMIN MKAPA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Matajiri wa kweli hawana maneno mengi yanga bingwa😂😂😂 naona kuna watu wanaumia

moshielfesty
Автор

💐💐💐💐GSM chukua maua yako angali bado upo hai.

ahmedysaidy
Автор

Mtangazaji nae kaacha kuoji kakimbilia maokoto yakudaka ten ten 😂😂😂😂

eramahirrigationandconstru
Автор

Piga kelele kwa Gsm mungu akubariki sn

hanifamziray
Автор

Asante Mungu asante Gsm asante wachezaji wote waliopambana kutupa jeuri mtaan 🔰#daimambelenyumamwiko

emmanuelletema
Автор

Mwenyezi akubariki Sana GSM, arudishie ulipo towa, akulinde na familia yako inshallah

LenatusSeleman-nqbn
Автор

Baba wa mipango wananchi hakika tuna furaha na wewe tunakwenda kuandika history

burudanitiv
Автор

Dah Tajiri ana mtoto mmoja kavaa kijani manina dah

R_Rajab
Автор

Hakuna maneno ya kusema yakatosha kwako kuanzia ulipoitoa YANGA yetu mpaka tulipo nasema ASANTE SANA GSM

mwambajr
Автор

msimu ujao sijui tu kwa huo usajir utakao kuja tuombe mungu uzima

kateadam
Автор

Huyu Jamaa ananiacha hoi sana always said YANGA BINGWA...😂😂😂

chemstry
Автор

Wakati GSM anagawa pesa bure uwanjani, simba wachezaji hawajalipwa ...Kweli hii ni yanga mpya

ezrajustice
Автор

Nisha wahi kulia mwaka 2016/17/18 kipindi tunachangisha kibakuli nikasema mungu atatulipia mateso yote tuliyo pitia

charlessalumu
Автор

Kuna watu wamefika hapo hawajui hata kinachoendelea walidhani anagawa pesa kwa kila mtu, moja aliefika hapo alikuwa na kila dalili ya kuanzisha vurugu

chacha-
Автор

Yanga bingwa, GSM kasem mm nipinge kama nan

zilperoscar
Автор

Dawa ya waandishi ni Hela kumbe hata hawana maneno mengi😅😅

furahaleonard-ivey
Автор

Mwandishi alipoona pesa akaacha kuuliza swali

eliasmwita
Автор

Waaaandishi wapuuuzi hizo ndo ambazo ana pewagwa jemedary aka maokoto 🤪

AnoldKitapondya-ptvc
Автор

😜😜 basi kamaliza apo yanga bingwa bc jomon ✌️

hadijamohammedy
Автор

Kumbe dawa yenu waandish nipesa tu 😂 shobo mpwii

ChipugeLaulian-fzmv