Kayumba - Lala (Live session Video)

preview_player
Показать описание
Fine Tape Album Available On All Digital Platforms:
Connect With Kayumba On Social Networks..

Booking Contact:+255782213441

Fine Tape Album
V-Director: Majag
@onerpm
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyu Jamaa fundi sana wote njoon huku tuaenjoy kwa pamoja

immamwerr
Автор

Yumba mwanangu UNYAMAA umetisha sana kaka

ShawnLexon
Автор

Dedication songs good performance mwamba huyu hapanaaa yaan mpaka mseme

emmanueljacob
Автор

Kayumba fundi jaman
Tumpe sapport na yeye awe Kama wao jaman

SONBOY
Автор

Na kukubali sana kayumba shabiki yako apa kutoka congo

makutampesa-
Автор

Napenda ngoma zako msanii wangu lazima nfanye cover ya ngoma yako

sannypizzo
Автор

Mdogoangu kayumba wewe ndio msanii wangu akika mungu angenipa uwezo wakifedha ninge kusimamia ningetoa helazanguzote mpaka nifilisike kwaajiliyako ❤❤nakuelewa sana kaza unaweza mpaka unaboa

FrankMbuya-mb
Автор

Mbona Kings wasimsajili kayumba
Binge la talent

Spartake
Автор

I like the way you deliver yet you are not pregnant, my smile keeper, , , , much love from Kenya ❣️🥰❣️❣️🥰🥰

leahwanjiku
Автор

Nice song
❤❤❤
Aka bachuchu Mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪

khamisshee
Автор

Nikiwa msanii mkubwa kidg naomba nifanye kazii na wewe kaka

cachiibadii
Автор

True lv, true word's within a song & song for life ❤
Lala mpnz for history of your life

SunaSalum-txzy
Автор

Nakukubali sana Sana sana sanaaa fundi kabisa

gwhitetz