MATAJIRI TANO TANZANIA 2024 || Top 5 matajiri wakubwa zaidi Tanzania 2024

preview_player
Показать описание
MATAJIRI WAKUBWA ZAIDI TANZANIA 2024
Leo nimefurahi kukuletea video ya kusisimua kuhusu wasanii matajiri zaidi Tanzania
Kwenye video hii tunakutajia listi ya matajiri wasanii mwaka huu 2023
Tutajibu maswali yako yote kama:
nani tajiri namba moja tanzania?
nani msanii mkubwa tanzania?
msanii gani tajiri tanzania?
wasanii matajiri tanzania forbes?
wasanii matajiri duniani?
nani tajiri namba moja tanzania?
wasanii matajiri tanzania 2022?
wasanii matajiri tanzania 2023?

Na mengine mengi. Pata taarifa hizi na nyingi zaidi hapa kwenye chaneli yetu ya yotube.
TOP 5 MATAJIRI WAKUBWA TANZANIA :
Wasanii na magari yao


Angalia video zetu zingine hapa:

VIpengele vyetu
0:15 Number 5
0:58 Number 4
1:37 Number 3
2:11 Number 2
2:58 Number 1
4:10 Like comment and subscribe

#Tanzania #TanzanianMusic #BongoFlava #AfricanMusic #TanzaniaMpya #TanzaniaMusicIndustry #Wasafi #DiamondPlatnumz #Harmonize #Rayvanny #Bongo #Afrobeats #WCB #TanzaniaYaSasa #TanzaniaTheBeautiful #TanzaniaUnforgettable #TanzaniaSwahiliCulture #TanzaniaWildlife #TanzaniaTravel #TanzaniaSafari #ExploreTanzania #TanzaniaTourism #TanzaniaNaturalBeauty
#wasanii #matajiri #diamondplatnumz #harmonize #tiktok #alikiba #utajiri
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wa sita ni Mimi Nina kuku 7 Bata 10 kondoo 2 mbuzi 9 Ng'ombe 1 nimejitahindi mno

KuyiNdubilubi
Автор

Umenisahau namimi wee jamaa mtoa ripoti unazingua🙏🇹🇿

remidusmwanandenje-yygs
Автор

Hamuwez kuja Zanzbar kma hamjapanda Zanzbar One au Kilimanjaro halafu fyoko fyoko Bakhresa yuko juu Mungu amzidishie Amin

nassormessi-zkcz
Автор

na mimi taingia soon kwenye hii orodha

RabiaIddi-ciuz
Автор

Apo number moja Said salim Bakhresa mbona nyumba za fumba Boat kilimanjaro hujazitaja tajir hawez kugombania Ubunge wala tajir hatekwi

nassormessi-zkcz
Автор

Voici cette artiste il est connu sous le nom thę plåtę bøy mais de son vrai nom c'est ndombe kaba Ezéchiel ii connais bien chanté c l'artiste chanteur danser compositeur il et congolais de père et de mère 🇨🇩🇨🇩📀📀

theplateboy-ymxz
Автор

Oooh allah tujaalie kila la kheri mola wangu mtukufu na utuweke sehemu salama pa kumjua allah

FatnaAlly-goyt
Автор

Kweli Bakhresa anastahili kuwa namba moja.

justicesheka
Автор

😂😂😂 tatzoo la YouTube waongooo sana yaan daaahh 😊

JaphetyLubasha
Автор

Jamaa liongo sana. Kwanza Ally Mfuruki alishakufa

KINGSAGENCYCOMPANYLTD
Автор

We jamaa mwongo Sana kama hapo et Rostam kawekeza kwenye Vodacom 😂😂 Rostam yupo tigo na zantel siyo vocadom

noeljacob
Автор

NAMBA SITA NI MIMI HAPA TAJIRI.AJAE MWENYE MIPANGO YAKE MJINI NGOJA IFANIKIWE NITAOVERTAKE WOTE.

emmykassim
Автор

Watu bwana, jamaa kasema anazaidi ya mabus 30. kiswahili ni kigumu sana

frankmajila
Автор

Rostam ni Mfursi(Muiran na sio mhindi)

iddkaoneka
Автор

Wewe bwege hizo takwimu umezipata kwa utafiti Gani?

Mjeda-qm
Автор

Apo kwenye namba moja uongo wa kwanza ni bakherasa

SaidMaganga-yiez
welcome to shbcf.ru