WASANII 10 MATAJIRI ZAIDI TANZANIA 2024 LIST IMETOKA RASMI

preview_player
Показать описание
WASANII 10 MATAJIRI ZAIDI TANZANIA 2024 LIST IMETOKA RASMI
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hongera sana kaka zangu na Dada zangu nakupa ha I kaka kiba

MusaChiluma
Автор

waliotoka...wteee ni matajiri...mungu wa Diamond abarikiweee ana Neema

JamesMwandoje
Автор

Kaka punguza uongo jamanii marioo mbosso na zuchu bado ni wadogo sana kwa utajiri kulinganisha na Jux acha uongo brooo sawaa

TheodoraMtei
Автор

Diamond platinum ni namba moja because of p, diddy

DavidEkai-xr
Автор

Uwongo uwo, namba moja ni alikiba, from 🇲🇿 mozambique

GalimossJoseMario
Автор

angaliya bien weyeeh musani diamond tajiri Kushinda harmonie

NgamaKondokelwa
Автор

Mmmh nmesahau no 1 kiba wapili nandy hao wengine sijona

NasraJaeka
Автор

Mwana Fa, professor Jay, Farid kubanda (Fid Q), wao wanakaa namba ngap

Immahjr
Автор

Nyie mashabiki wa diamond platnumz mnapenda sana kutuongopea, Mimi sio shabiki wa alikiba lakini yeye ndiye namba moja kwa pesa, kuimba, na vyengine tu, we nshamba nini

GalimossJoseMario
Автор

Siamini hii
Hata lady jaydee hayumo top ten, kweli hii ni sahihi?

donatusalfred
Автор

Mkiwa Anna kazi zakufanya bola mnyamaze kuliko kuongea ujinga usiludie tena

ashaabdul
Автор

Rayvanny na jux nimatajiri kiliko mukubwa kuliko uyu harmonize yeye ni mutoto sana

BaziramwabotjEugène-cb
Автор

Uongo kk lady jaydee hayupo kwenye list

FirdausSauda
Автор

we shangingi kuna wasani wanapesa kama mwana fa ay sugu prof jay hao vyura unaowataja hawapo kwenye list

LenadiJoseph-pp
Автор

Inasadikika sikia neno inasadikika 😅😅😅😅 shikilia hii inasadikika 😂😂😂😂

KhairanMohamed
Автор

Acha kuwadanganya watanzania bhana kama haujui uwe unakaa kimya bhana

BahatiMdolo
Автор

Ommy dimpo JUX NINOMA HARMONIZE RAYVVAN AWA FIKI KWA JUX JUX ANAHELA UWEKEZAJI WAKE NI TOKA KITAMBO NA mbosso zuchu marioo Awana hela hta Nusu ya Jux lebo yao Ina wanyonya Sanaa jeshiii Alivo Toka wcb Alikua Hana milioni 600 kakopa Sanaa Leo unakuja kusema jux na mbosso 😂😂😂😂😂 UWE NA akili 😎

OmmyDseven
Автор

Tanzania Diamond Ana dollar $9 Tu na hiyo list yote Hakuna Ukweli Ni vile tu Mnalinda Brand zao

NassoBrown-lc
Автор

Ingieni Google, hapa mnatapeliwa tu. Ukweli ni mmoja tu kwamba Diamond ni number one hao wengine wote wanapambana na kuvutana mashati.

unclepwechnov