Appy - Ng'o (Official Lyric Audio)

preview_player
Показать описание
Appy "Official Lyric Audio" for Ng'o
Produced by Ibrah Jacko
gfx by Xony Visual

Listen to Appy on

Follow Appy on

#appy #Ng'o #Ng'o #Ng'o #Hatuachanikamwe
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Appy wee ni 🔥🔥 kama unamkubali appy gonga like za kutosha bac

Officiallyexaud
Автор

❤Sauti yako yanapendeza jameni🎉🎉Iko wapi likes zake appy all the way from Kenya 🇰🇪❤❤❤

AkALEBUZYBWOY
Автор

Daa nyie huyu dada🙌 dada tafuta tu mganga mzuri kama ni Mungu basi ongeza maombi dada angu, unajua na unajua tena na tena🙌 kitu kimoja ni kua umejua kujitofautisha wa wanmziki wote wa kibongo sio wakiume au wakike Dada una sehemu yako hapa Tanzania, kama ni chumba basi ni chako peke yako dadeq🙌🔥🔥🔥🔥🔥

jacktons
Автор

Sauti tamu inafanya usimike❤ mwenyewe bila kuambiwa😊

langemwepesi
Автор

Hii ngoma ni kali with unique vocals, pia video itakayo ambatana uhakikishe iwe kali jinsi ngoma hii ilivyo

Russian
Автор

🔥 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥 when I sing ur song I feel any thing I can!!

christophermakala
Автор

Celpha mw like the song 100% in lv with it woo appy 9c 1 this song has made me & friends to know u & the song is played frequently big up

CaroKamtokoma-nw
Автор

If you came from tiktok sign here
Mad love from Kenya🇰🇪

ronni_msooh
Автор

Wow wow mbna nimechelewa waallahii hiii kubwa zaid..sikuachi appy ❤❤ from kenya

browsekidcleymmo
Автор

Siku Moja inshaallah utakua katika ile level nnayo itaka mim
Go ahed bado tutakusapoti usikate tamaa siku moja Tanzania tutavijunia Rihana wetu

MwannahOchu
Автор

Napenda sana iyi ngoma kali Appy
I love this song from DRC.

abdourubingu
Автор

Appy umeua sana hiingoma
Karibu
Makambako

EdisonifuteEdisonifute
Автор

Hatari sana🔥🔥🔥🔥sauti yako unavoitumia inafurahisha sana❤

JkrulesMswahili
Автор

All the way From Zenji#Marashi ya Karafuuu❤🔥❤🔥❤🙌🙌

tellodelucky
Автор

Appy yuko unique, I do love her music

adamswafi
Автор

CROWN MEDIA IMENIFIKISHA HAPA.. BIG UP “THE THRONE”

RamazaniMulongeca
Автор

Well done Appy. All the way from Germany.🇩🇪

porcupinetours
Автор

Ngoma kali sana appy.unique melody na pia uimbaji professional haswaa!wakupe maua yako sasa, wakupe kiti chako, wakikubania ni uchawi tu

isackkinabo
Автор

Appy Appy Appy i call ue 3 times ur the best my sistet keep going keep working!!👏👏✊✍♥️

JeremiahWilfredy
Автор

I'm just listening to the vocals cause wueh❤❤❤

benterlouisa