Namna ya Kujiunga SUA na Vigezo vyake

preview_player
Показать описание
Maelezo haya yametolewa na Afisa Udahili kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Bi. Grace Kihombo wakati wa mkutano wa Piga Kitabu 2023 uliofanyika Ukumbi wa Highland, Morogoro ukiwa na lengo la kuwaandaa wanafunzi wa sekondari kuyafahamu mazingira ya Vyuoni.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nataka kusomea kilimo na ufugaji sua laknnimemaliza form 4 nimepata 4 je naweza kujiunga na chip cha sua

DorcasyMeshack
Автор

Ongezeni viwanja vya michezo ya basketball na tennis

RamadhaniMwanakijiji