Chagua SUA upate maarifa ya kujiajiri na kuajiriwa

preview_player
Показать описание
Na Gerald Lwomile
Dar es Salaam
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo ( SUA) upande wa Taaluma, Utafiti na Ushauri wa Kitaalamu Prof. Maulid Mwatawala amesema kama mwanafunzi atafanya uamuzi wa kudahiliwa SUA atakuwa amechagua sehemu sahihi kwani mbali na kuajiriwa lakini pia anaweza kujiajiri mwenyewe
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wapi nyie vyuo vikuu vingi wafanya biashara tu vijana tunamaliza vyuo hatuna uwezo kamili wa kujiajiri Wala ajira zenyewe mtaani hakuna nafasi ya ajira ikitoka Wana apply watu mia tatu sasa ww utabahatikaje kupata ajira. Vyuo mmekula ela za wazazi wetu sana mwisho tumerudi nyumbani na wengine tuliopata mkopo Bado tunadaiwa na hatuwezi kulipa yaani kiufupi wahitimu wengi tumechanganyikiwa ela tuliyolipia ni nyingi na hailingani na elimu tuliyopata au tuliyotarajia msidanganyike na matangazo mwisho wa siku unatakiwa upambane na Hali yako ya maisha hao waalimu unaowasikiliza hawatakuwa na ww mtaani wao wanataka ada yako tu

immamushi