filmov
tv
Mifugo || SUA na ICARS kutafiti udhibiti wa magonjwa ya kuku
Показать описание
Wataalam wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kushirikiana na wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) wameandaa miradi miwili ya kutafiti njia mbadala ya kutibu kuku ili kudhibiti magonjwa na kupunguza matumizi ya dawa hususan za antibiotiki yasiyokuwa ya lazima.
Hayo yalifahamika mapema leo Aprili 5, 2022 wakati timu ya wataalamu kutoka SUA na Shirika la Kimataifa la Denmark la ICARS, linaloshughulika na afya za wanyama na binadamu, walipokutana na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega kumueleza namna miradi hiyo itakavyotekelezwa hapa nchini.