Wanafunzi Kidato cha Sita Waipongeza SUA

preview_player
Показать описание
Wanafunzi wa kidato cha sita katika Shule ya Sekondari Green City Morogoro wameipongeza SUA kwa kuwa na Programu mbalimbali ambazo zinawapa nafasi ya kujiunga na Chuo hicho baada ya kuhitimu masomo ya sekondari.

Wametoa pongezi hizo baada ya kusikiliza wasilisho la Afisa Udahili Bi. Grace Kihombo kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine kwenye mkutano wa Piga Kitabu uliofanyika Ukumbi wa Highlands.
Рекомендации по теме