PART TWO - Nilikaa Wiki mbili MAJINI bila Kula, Nilitoswa BAHARINI, Watatu Walikufa, Kuna PAPA wengi

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ally Mbukuzi baharia wa kitambo, salute Bro.

chidiadam
Автор

Ridhika n ilochojaaliwa, isihatarishe maisha yako kwa pesa.

zulekhaa
Автор

nilichojifunza vijana wingi.we use alot of energy to struggle life so as to succeessed but illegal...shortcut sio nzuri kwa mwenye kuelewa ata elewa.

mohamedsuleiman
Автор

Safi sana bahari sasa ugiriki ulikuwa unakaa wapi bahari Μπράβο βρε δυο εβδομάδες ελλαδα αλλα πιου μένεις; 🇬🇷

babujay
Автор

Tupambane wadau..hakuna kukata tamaa.🙏🙏

Inno-qzec
Автор

Duuuu pore sana kaka rakini mungu atakupa unacho kitafuta

chikusangalala
Автор

Yan nilivo kuwa kuwa naipenda South Afrika jamn sisem😢😢😢lakin toka itokee lile tukio mwaka jana kwakwel sauth afrika maza faka 😖, , , yn Bara Afrika nilitaman kufika ni Sauth Afrika, botwasana, Rwanda

magrethbenjamin
Автор

Dah! Aisee haya maisha?Mungu tusaidie.🏊🇰🇪

salomekamande
Автор

Shukurani brother izo ndio story nzuri sana ani zinakupa hamasa ya maisha

nahishakieathumani
Автор

Kenya wanajielewa sana asa kwenye pesa

babanurumbabe
Автор

Msela boat story teller, stay up homey, Tukutuku vichaa free ride peace.

ibrahimhemedi
Автор

Unapitia maisha kama hayo alafu mpuuzi anakuja anakwambia "ntumie na ya kutolea"

francisrichard
Автор

Nilikuwa nasubiria kwa hamu sana hii ndude

President-seed
Автор

Mim shuda nime kubaliwa na pokelewa vizuri sana na serekali ya Kenya, na nani jihisi kweli niko
Baada ya tafash fulani toka nchi Nime kutana na ma store way .... kadha... hadithi zao nzito I say .

bantuvoicemuchaikinuthia
Автор

Escoo jamaa yuwasimulia fureish ila yuwaonekana kapiga sana kiarusha

fadhiliswalehe
Автор

Ndugu atangazaji mbona hamupendi kuwauliza miaka yote hayo wako inje jee wamefanya nini nyumba kama vile wamejijengea nini kimaisha kama huyu ndugu yetu Ali anavyo sema amefanya kazi miaka mingi south africa

omarswaleh
Автор

Shida asilimia kubwa ya mabahari huwa hawatoboagi maisha

viajarportanzania
Автор

Pyrotechnics 🧨 hizo sio KIBOMU hizo hutumika wakati wa dharura ili kisaidia kuonekana wakati wa Uokoaji

Kwenye Life raft na Life boat 🚣‍♀️ unakuwa navyo hivyo pyrotechnics 🧨 orange smoke

manyotaskipper
Автор

Sea man alikula dongo zuli kumbe ndan ya grece

babanurumbabe
Автор

Maisha na safari msafiri kafiri tanal life funua funika

MrTouch-rmrh