Professor Jay feat Alikiba - CALLING (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Music Video by Professor Jay featuring Alikiba performing "CALLING" (Official Release 2024), The music Video was shot in Dar es Salaam, Directed by Traveller (Kwetu Studios) & Audio Produced by Bin Laden of Tongwe Records.

Connect with Professor Jay on Social Media:

Connect with Alikiba on Social Media:

(c) 2024 Professor Jay.All Rights Reserved.

#Professorjay #Alikiba #Calling
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

PROF JAY tena
NIONE LIKE NYING HAPA 👍🔥🔥🔥🔥 #MIKUMI tunarud tena kaeni tayar

fadhilimbotela
Автор

Jay is back..asifiwe aliyejuu.. Like kama unaamini Mungu ni mwema

justinekipkorir
Автор

Nashukuru sana kuone jey ame kuwa mzima kama una amini mungu yupo like hapa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

KambaleIsaac-by
Автор

Sauti imerudi mungu ni mkubwa, kila la heri kutoka Kenya🇰🇪

bonelesskenya
Автор

Kaka, hata sauti Ile yako imerudi sasa, nafurahi sana. Mungu ni mkubwa amekuponya kaka Jay❤

josephguerino
Автор

I'm watching from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 piga like hapa

Donchervenu-ns
Автор

Tuliopitia mateso ya mama wa kambo tunaelewa vema ukubwa wa huu wimbo. Much respect Prof

raymondbashaka
Автор

Kama unaamini jize amepona sauti yake like Yako ni furaha kwake

lionofjudahtv
Автор

Professor jay bado yupo sawa mungu azidi kupa afya kk .

mg-lion.
Автор

Asante Sana crown FM kwa kumuheshimisha prop j kiukweli prop j ni msanii anaetunga tungo zinazoishi

linyamakirobo
Автор

Team king kiba 💕💕💕💕🇰🇪🇰🇪🥰 professor jay alirudi km Moto 🔥🔥🔥🔥🔥

judithpendo
Автор

Nakupenda sanaa Proffessor Jay ku toka DRC 🇨🇩, ku anja Hapo Vipi Hapo Sawa, mimi ni mshabiki wako ku toka Beni Town

dieumercimusokoni
Автор

Ukitaka kuamini Mungu yupo.
Basi muuone Professor Jay❤❤

wachapiajigang
Автор

Nasemaje tusisahau kusema asante mungu....furaha itawale kwa wote wapitiao shida, maradhi,hakika mungu yu na wewe, , jifunze, kitu, leo professional rapper, ,prof J, tupo naye tena utamu wa voko zake ni duwa tu, , , weka like kama una amini mungu Ametenda.

MussaNyoni-gz
Автор


Tunaitaj nyimbo kama hiz...
Tunakuitqji
Mungu maisha marefu
Shootouts to kiba

RamadhaniRacx
Автор

Kama si crown media singejua kuna banger limetolewa🎉

marywanyika
Автор

Wakenya wanaotambua hawa malegends wawili🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️🥂
Welcome back Prof jay

junemuchiri
Автор

Tuliimis hii sauti legend professor Jay weka comment hapa kama unaamini mungu ni mwema❤❤❤

Bright_KirahTV
Автор

Kama unaendelea kumuombea Prof Jay MUNGU amlinde na majanga yote like hapaa

rabinmarco
Автор

Alikiba is single handedly resurrecting all legends that Wasafi k!lled. Kenyans in Canada 🇨🇦 🇰🇪 love you

ANKOeTV