Diamond Platnumz - Kanyaga (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
#KANYAGA is the Anthem

Video Shot By Director Kenny under Zoom Production in Dar es Salaam

For Bookings:

Contact Zoom Production:
+255718546547

Catch Up With Diamond Platnumz On:

#Wasafi #Diamondplatnumz #Kanyaga
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kanyaga
#Diamond ptn
I, m from #SOMALIa 🇸🇴🇸🇴
King of Afrika #DP

samehashi
Автор

From Ethiopia 🇪🇹🇪🇹 and this song is so firee am addicted 🔥🔥

fikreasrat
Автор

Mm nakanyanga kila siku simba masha Allah Kaka mm na kanyang usiku na mchan nakutakia kila la heri💯🙏🤲♥️ song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💞👏

rukiyasaed
Автор

Diamond platnumz give us time tumalize kuiNama, bado tunatetema ivi Tena unataka tukanyage, mad love for wasafi from Kenya.
Hatuna budi ila kukanyaga!

Kruzj
Автор

"Kadi za harusi kuchangachanga wakati mwenyewe nina matanga..." i felt that to the bone🔥🔥🔥

donmaina
Автор

Tanzania Baba lao Kwa mziki Africa nzima akuna watu wenye vipaji vya kuimba kama bongo yani bongo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

zkiduku
Автор

Tumetoka kuinama sahi nikuwakanyaga 🔥
love all the way from South Sudan 🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸
Nani atakanyaga like yangu 🙌🏿

stephenruk
Автор

Kutoka 🇰🇪, Simba imebidi niwakanyagie wengine nikuskize! Imeweza!

fredricknyangacha
Автор

Kanyaga ufisadi, kanyaga ahadi wa wanasiasa. Kanyaga ukoloni mambo Leo. Kanyaga viongozi kutoweza kutengenezea kazi wavijana. Kanyaga wahasidi

defender
Автор

It's Nov 14th Rayvanny performing at MTV EMA becoming the first African to ever to perform at the Awards in Budapest, Hungray with Diamond having his second nomination for the best African act, diamond is the only African to ever Win 2 Silver Gong from MTV EMA for best African act and best Worldwide Act awards that were held in Milan, Italy am watching to Kanyaga right now setting up my winning Mood🔥🔥🔥

saidabdulkadirmjahid
Автор

Melanin👌 video imejaa uafrika tupuu.... Mambo ya uzungu uzungu naona umeacha👊 (WAKANDA FOREVER)

asharamadhan
Автор

Jamaa ameshindikana yani rekodi zake anazikanyaga Yee mwenyewe#kanayaga#respect to this guy Africa's icon

tiktokadvisor
Автор

Diamond you're my one of my messages thanks for your updating me all over the world ❤️

dokhefrancis
Автор

I am from Germany 🇩🇪 and i live for 3 years in Tanzania 🇹🇿 and at every party is this song I love it

schwinissharam
Автор

Kali sana bwana Simba 🔥🔥🔥🔥 Upumbavu wote tunakanyaga kanyaga!

tundatiziana
Автор

Wow that the best song l never hard you are the best diamond 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

abosekaa
Автор

Kanyaga all the politicians, much love from +249🌷🌿🌻🇸🇩🇸🇩🇸🇩🇸🇩🇸🇩🇸🇩

tunchi
Автор

From Cameroon based in Tanzania . Proud of Tanzania. Nice people and nice country . #1Hit in Africa . AsanteTanzania .

yonghofidele
Автор

For the First time Sijaskia "ayoo Lizer" kwa ngoma ya Diamond..Big up S2KIZZY kwa Beats kali..+254

peteradonga
Автор

Aisee nilikua nakukataaga kwenye mziki lakini sasa hivi nimekubali mwenyewe aisee, you have all it got to be a musician and you are the best Tanzania na Africa nzima, God bless Diamond, God bless your Music and God bless Tanzania

teteatetetechswahili