Diamond Platnumz - Kanyaga (Official Audio)

preview_player
Показать описание

For Bookings:

Catch Up With Diamond Platnumz On:

#Wasafi #Diamondplatnumz #Kanyaga
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyu S2kizzy ni bonge moja la producer. Kanyaga like kwangu kama unamkubali S2kizzy Zombie.

abdulrazakgwotta
Автор

Wa kwanza from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sijai pata likes 100😚

kevinisako
Автор

#KANYAGA wote ambao ukiwapa Hi wanakuvmbia...
#DiamondPlatnumz ww n wa MAWINGUNI...
#WCB 4 LIFE

sylvestermjunijr
Автор

Sijui pia mimi niseme, the first from

vibrantvictor
Автор

WCB nimeweka mikono juu😇👐
TEAM KIBA NIMETOKA NIMEAMA hamuna jipya kachezeni mupira ao nendeni kwa joho oo1 awape kazi

tesfayedesta
Автор

Ujawi kosea big #baada ya inama wacha tu #wcb for #ety bby niungie bandooo

moonlightmedia
Автор

first one from Zimbabwe ...Nakupenda sana rafiki😍❤

jackiechido
Автор

Kama unaamini huyuuu kijana ni genius, , , ebaaaneee

WEKAAA LIKEEE

lameckntahondi
Автор

Eti baby niunge Like hapa kama umeipenda hyo TANGA IZ HOME

momdigo
Автор

Kila siku nasemaga huyu diamond ni mwili mdogo lakini akili bahari sasa kama umeikubali kanyaga acha wivu na majungu gonga like yako hapa 👍👍👍🇹🇿🇹🇿

wilonjahatua
Автор

ngoma kaliii kwa wajanjaa kma sisii hatuchelew kumsaport mwanetu 💪💪💪hizi Namba chafu

millardyleonardy
Автор

🌟🌠🌠🔥 Yeyote Anajifananisha Na Simba
Simba Hakuna zaidi Yako. Much love from Kenya 🇰🇪

swahiliflava
Автор

simba unatisha kila kona ya nakukubali kinomanoma

lilianjames
Автор

Haki ya Mungu huyu Mondy kavurugwa na hili ni bonge moja la ngoma bonge moja la pumb*. Kama unamkubali Mondy gonga like kudadadeki.💣💣💣💣💣💣💣💣💣💥💥💥💥💥💥💥

abdulrazakgwotta
Автор

Yani 30 minutes na bado siko top 10 viewers kanyaga like.

Football-ebxb
Автор

muziki umetoka menstruation period asa ni kazi kazi oyaa kanyaga🔥🔥

youngjesus
Автор

Kanyaga kanyaga a hit tayari 😂. Ila mondi unasifa sana brother 🙌🏾

emmanueljuma
Автор

Uzushi, kanyaga
Ma shem fakey, kanyaga
Nuksi, Kanyaga
Kudadadeki, Kanyaga
Ma wifi, Kanyaga
Paka ma.ex, Kanyaga,
Mikosi, Kanyaga
Oyaaa Kanyaaaga!!!
#Love_from_Kenya
#Suray

suhailahhoyaam
Автор

Kanyagaaa platinumz...kama unamkubali mondi..na soon he is ruling Africa...like ita pendeza

TheAmolloh
Автор

KUMA MAMA AKE HAKUNA KUHONGA SASA HIVI KANYANGAKANYAGA 🔥🔥🔥🔥🔥USIKU HATULALI TUNAKESHA KAMA POPO oyyyyhhh WAHUNI TIMBA

moviesstore