Diamond Platnumz - Unachezaje (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Show us How You Dance💃🕺
Get The Song On Your Favorite Platform👇👇

Video Shot & Directed By Director IVAN

Diamond Platnumz Booking Info:

Catch Up With Diamond Platnumz On:

#Diamondplatnumz #Wasafi #Unachezaje
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Na Hii ndio tofauti ya Diamond Platnumz na wasani wetu apa Tz, mwamba ana kufanya ata kitu ulicho kichukia mala ya kwanza kwa mala pili ukipendee

giftafrica
Автор

Siiiimbaaa kanguruma🔥🔥Kama unangoja parody ya kufunga mwaka piga like hapa 254 Representing 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

DogoCharlie
Автор

Ahsante bwana simba kwa zawadi yako hii kwa ajili ya siku yangu ya kuzaliwa pamoja na wengine waliozaliwa siku kama ya leo

EMMANUELPAUL
Автор

asante sana kwa hilo nahuyo ni kedy g kutoka

kedyg
Автор

🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯💯💯💯
Wakenya twakupenda sana mondi❤
Mondi BABA LAOOOO
🔥🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽❤

Chop
Автор

Simba anapokua na njaa, Akiwinda hakoseagi goma Kali xan Salute for you Simba mtu hatari,

dullambabe
Автор

the real simba dangote big man nimekutii mkuu

hillaryluntanochieng
Автор

Huyu jama kumtowa nafasi yake nishuhuli nazani atakaye mtowa hapo ajazaliwa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸kweli tumefunga mwaka na wimbo mnzuri unachezaje 🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌simba kama simba diamond platinumz

emedimejos
Автор

Jamaa bana anajiamini sn kwny kila anachofnya, alafu haishii kujiamini bure, anakifnyia unyama, kingne napenda kwmb akiw anatunga bazi ya mizik wa banger hatumii nguv nyingi, anafocus sehem kazaa tu, jukwani na sehem za shangwe wtu kuweza kucheza nakuimba kiurahisi had wtoto majumbani...💪

Fundikichwa
Автор

Goma la kwendaaaa diamond platnumz msaniii wa Africa na waduniaaaa unachezaji wataelewa tyu wasijifanye hawaelewi si Kila mziki tunaleta na una hit duniani kote

ibrahimwabu
Автор

🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬supports dis love aswear


Africa all d way, Zanku all d way!

element
Автор

Noma sana asee....love DIAMOND songs from🇬🇧

hamismlyomi
Автор

Africa is happy to have a creative, talented and energetic artist like you, Diamond, umewaacha mbali sana

King_
Автор

Yoh Zimbabwe 🇿🇼 here supporting not only because you worked with Jah Prayzah but you got talent Diamond!

nsr_zw
Автор

The truth is I love this guy work is excellent his passion is of another level the dance oooh God his voice gives me chills....I smile every time I hear him Simba go Simba mashabiki tuko nyuma yako papa, ❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

itsmamuu
Автор

Diamond Platnumz. Tunataka album brother.
As your fan, tunataka chakula chetu

kbboytv
Автор

Big up to Kenyans. Kenyans are everywhere to support their African brothers and sisters from other countries. Am Tanzanian 🇹🇿 but I really appreciate the supportive energy from Kenyans 🇰🇪

bongoupdatestv
Автор

Simba never disappoints much love from Kenya🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

kambachroniclestv
Автор

Never underrate Diamond Platnumz! One of Africa's finest artiste ... Love from Nigeria!!

NollyGreatMovies
Автор

Who agree with me that diamond is the best artist in Africa right yes like this comment😘😘

iamswazzyplatform