KUMBE HUU WIMBO NI GOSPEL BWANA . MAHARUSI WAMEINGIA NAYO UKUMBINI .

preview_player
Показать описание
Ni mziki wa zamani wa ki Congo . Yamkini umewahi kuusikia na kuucheza bila kujua unamaneno ya kidini. Ika ni wimbo mzuri sana na Maharusi wameutumia apa kuingia nao ukumbini. Yapi maoni yako?
Subscribe @Mcgarab
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yeahh safiii bwana harusi kautendea haki

vailethywalter
Автор

Mungu anijubu na mm jaman siku hii ifike

janembalinga
Автор

Dah ipo sku mngu atajibu maombi yangu hakika😒🌹

marrymarry.lovegod
Автор

Jmn huyu Kaka yupo kwenye filam y bongo muvi inaitwaa jua Kali

linahsemindu
Автор

Mc mm nakuitaji kwenye sherehe yang jmn

witnessmush
Автор

Dah nmewapenda wana furaha, wamependeza

coletashirima
Автор

Japo sijui saa, siku, mwezi, mwaka ninacho kijua ni kwamba ipo siku yangu nami nitafurahi tu naingoja sana ulipo ulie ubwa kwajili yangu njoo bas dah!

shizaarfred
Автор

One day I wish uwe na my MC during my Jambo langu MC

Sebastian-toqd
Автор

Safi!! Lungha gani hapo kaka iliyotumika!!

mckinyange
Автор

Hahaha hiziki coment zinanifurahisha fupi fupi😂

maryraphaely
Автор

Napata wivu maana wangu hajui kucheza hata kidogo

NemesiYustina-yevs
Автор

MC Gara mambo unayofanyiwa kwenye jua kali DSTV hahhahaha kama vile sio wewe

elizabethangalo