Obby Alpha- Bora kushukuru (Official Video) For Skiza dial *837*2692#

preview_player
Показать описание
#BoraKushukuru is a Gospel Song Based on thanks giving.

Produced by Mixing Doctor
Guitar by Andreu Michael kan
#BoraKushukuru #ObbyAlpha #obbyalpha
Graphics #ApCreativeAgencies
Proudly sponsored by #GanjiKindoo

#ObbyAlpha
#BoraKushukuru #SingWithObbyAlpha Ni Bora Lyrics

Verse 1

Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo,
Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo,
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata,
Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa.

Tabasamu njoo,Nataka nibadiri
Wangu mtazamo niishi kitajiri
Na wewe maumivu njoo,Nataka nibadiri
Wangu msimamo niishi kijasiri,

Ile habari ya kulialia Kila siku nakataa (Nakataaa).
Na kama nilisainiwa mkataba nafuta aah,

Ndugu tulowasaidia wakaficha makucha (Makucha).
Wao walipofanikiwa wakataka kutushusha aah!!!

Bridge

Nafuta zile why me!! Why me!!
Sijapata kwanini ? Kwanini ?
Najawa ujasiri ujasiri
Nitapata na mimi na mimi

Nafuta zile why mimi Why mimi !!
Sijapata kwanini ? Kwanini ?
Najawa ujasiri ujasiri
Nitapata na mimi na mimi

Chorus

Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo,
Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo,
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata,
Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa.

Verse 2

Na nilipo huenda Kuna wengine wanapatamani,

Zamani huko nilishakataliwa na watu wa nyumbani,

Kile kidogo ninacholalamika lakini nimepata,
Wengine huko wamepambana wamekosa kabisa.

Kumbe ni Bora kuridhika na hiki,
Nilichopata ndio yangu ridhiki,
Mungu ni Bora yeye hatabiriki,
Amekupa hicho mi amenipa hikii.

Bridge

Nafuta zile why me!! Why me!!
Sijapata kwanini ? Kwanini ?
Najawa ujasiri ujasiri
Nitapata na mimi na mimi

Nafuta zile why mimi Why mimi !!
Sijapata kwanini ? Kwanini ?
Najawa ujasiri ujasiri
Nitapata na mimi na mimi

Chorus

Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo,
Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo,
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata,
Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wimbo mkubwa sana huuu Obby, Mungu akuzudishie kibali chake kwa watu wake. Amen.

PresenterKai
Автор

Who is here with me October 2024..jamani tuonyesheni upendo kwa majirani zetu wimbo mzuri huu...much love frm🇰🇪🇰🇪🇰🇪

miriamismael-nr
Автор

Hizi ndio Nyimbo tunapenda kusikia kwa afya zetu za akili, imani na maisha

samniza
Автор

I put this comment here so after a month or a year when someone likes it reminds me of this beautiful song

martinmuthuitito
Автор

Wasanii wa Tanzania tunawapenda sana Kenya! This is another banger, so fire!

MzeeMoja
Автор

Wimbo pendwa Sana kwa wasikilizaji kama umeamini alichokifanya alpha gonga like zangu hapa

OFFICIALSEMAH
Автор

Thank you Tanzania for representing Eastern Africa in good songs. Kenya tuko pamoja na nyi

africanblossoms
Автор

Who is here for this ?
It doesn't get old
Nakushukuru mungu🙏

gracegithaiga
Автор

Iyi nyimbo inanifanya lia sana, namuomba mungu kila siku, kila siku. Anibariki nimsaidiye mama yangu🙏🙏🙏

The_Peacemaker
Автор

This song inanitia Imani Na nguvu za kuendelea kubambana 💖💖💖repsenting my country Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪in Gulf 🇱🇧🇱🇧🇱🇧

belindamboya
Автор

Huu wimbo ni ushuhuda wangu…Listening this song working hard day and night tangu nije Abroad

life is hard lkn nikikumbuka nilipotoka GOD is great…. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 if ur reading this usikate tamaa kesho yako ipo karibu💪🏾

faustacharles
Автор

Who's with me in September 2024..much blessings 🙌....this song motivated me after I lost my lovely Mum on 1st August 2024...

johnathanmunai
Автор

Huu wimbo umepandisha sana kiwango changu Cha Imani. Hakika Mungu ni mwema sana kwetu. Dear Father thank's for all you have done in my life & I keep waiting for all good you are going to do in my life. Ameen.

JosephMabula-ud
Автор

I'm a Muslim but since I heard this song it has been on repeat mode ❤ you are talented

amarshaban
Автор

🎉🎉🎉🇰🇪 kenya 😊😊😊love 😍
Balikiwa sana keep shining
Kenyans like ziko wapi?

judyjoshofficial
Автор

👑 I'm big fun this time do more sheet 🇺🇸
Urumuri nukuri nibyo biranga aboturi
Industry yuzuye inzazame

emmanuelsatia
Автор

"Taabasamu njoo, nataka nibadiili wangu mtazamo, niwaze kitajiiri.... "the part i love the most

FelixNaibei-sqhe
Автор

Wimbo unatia moyo sana kwa kutukumbusha kushukuru kila siku kila saa...wanadamu tunakuaga na tabia za kusahau mpaka vitu muhimu kama hivi maana ndivyo tulivyoumbwa

themerlins
Автор

Love the song Kama unashukuru mungu mwema anasaidia kila sehemu gonga like tukisonga

ZacharyMangara
Автор

Am a muslim but to be honest this song nearly made me cry, obby alpha there's something unique in you....God bless you

kibengaJr-msrd