Christopher Mwahangila - NI MUNGU AMEFANYA (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Christopher Mwahangila
#255716620000
+255756068844
#Subscribe

Directed By Elijah D
ED Media
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kutoka Kenya nipewe likes maana ni mungu amefanya

professor
Автор

Nimelia sana kusikia wimbo huu, nimeshuhudia Mungu akinitoa katika Mauti nilikuwa nimekwisha habari yangu.Jamani Mungu yupo na anafanya kazi

afyaacademy-tn
Автор

Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah nishapata wimbo wa kuingia nao kwa harusi yangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Mungu akubariki saana kaka....Sijui nichezeje vile....Umebariki moyo wangu saana kaka

ruthmambo-rcju
Автор

Wa kwanza ku view na ku like from Australia 🇦🇺 Barikiwa 🙌🏻

abelbaraka
Автор

Wakenya mko wapi jamani hallelujah 🙌 mungu ni mungu 😊😊😢

nancynyaboke
Автор

Let me comment so that whenever someone like my comment or reply it reminds that it God that has done it for and not me

lifestylewithshaz
Автор

Siku ya harusi yangu lazima niweke hiii song sababu kwel Kun mambo mungu anafanya sio akili zetu Asante Yesu Kwa good song hiii

MailesYanga-dgwe
Автор

Wewe ni mwimbaji wa kweli! Kila nikisikiliza nyimbo zako Kila mara najipata nikifarijiwa na Roho Mtakatifu.
Mimi ni mfuasi wako kutoka DRC Congo 🇨🇩

marcelotshilewu
Автор

Waooo!! Mungu akubariki sanaaa Baba Askofu, nimebarikiwa na huu Wimbo, ninaamini Maelfu ya watu watafunguliwa na kuinuliwa kupitia ujumbe huu. Mungu azidi kukuinua juu zaidi...This is 🔥🔥🔥🔥🔥

mgogosinger
Автор

Ni Mungu amefanya sio mimi♥️♥️♥️ sifa kwa Mungu 🙏

ngititanne
Автор

Toka nianze kuwa FOLLOW mmenitenga kwa Like zenu 😭😭 __song

johnmgaya
Автор

Mungu azidi kukuinua baba yangu nyimbo zako huwa zinanibariki sanaa

RehemaPaul-vntz
Автор

Mungu akubariki kwa kipaji .Lakini kumbuka usichanganye MUNGU na miungu.

ecammunga
Автор

Waoo wangapi tumeona Mwahangila anavyomentain upako wakeee, kwakwel naendelea kuhudumiwa na Roho mtakatifu kila navyozidi kuusikila huuu wimbo, ubarikiwe saana Mtumishi wa Bwana

godfreymatikoo
Автор

Hakika Wimbo Huu Unanguvu za Mungu. *"Ni Mungu Amefanya Siyo Mimi."*

michaelmattepet
Автор

This is my song today after my husband and I suffering for 7yrs without a job.we have survived and now we can sing mungu amefanya 🙌🙌🙌🙏

maryajwang
Автор

ni yeye alie tenda sio Mimi nam nimekuta kimetendekaaa nenda my

IreneCasian
Автор

Hakika Mungu amefanya sio Mimi Asante Kwa faraja Yako Kwa tunayopitia hii Dunia Kama Mungu sio kutenda uzima tusingeupata

shidabeatus
Автор

Mtumishi mungu akubliki sana kwa kazi nzuli

LuckyMweemba-jztu
Автор

Kweli hivi nilivyo ni Mungu amefanya sio mimi, nyimbo nzuri sana

evamwahangila