TUNAPASWA KUSHUKURU

preview_player
Показать описание
Kwaya ya Mt. Karoli Lwanga kutoka Parokia ya Familia Takatifu - Njiro , Arusha, Jimbo kuu katoliki la Arusha wanakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu wa shukrani unaoitwa TUNAPASWA KUSHUKURU. Wimbo huu umetungwa na Angelo Kitosi na Kurekodiwa na studio za RAJO Productions - Arusha.

Kwa mawasiliano na kwaya hii, tumia namba
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

I put this comment here so after a month or a year when someone likes it it reminds of this beautiful song

martinmuthuitito
Автор

AM AN SDA BUT I CANT STOP LISTERNING TO THIS SONG....UTUKUFU APEWE MUNGU

onseriodenis
Автор

Am proud to be a Catholic, I always listen to this song every morning...it blesses me alot 🙏🙏

rosenthambi
Автор

Proud to be a catholic Tanzanian songs hunifariji sana

lydiahsimiyu
Автор

Nyimbo kama hizi zapaswa kuuzwa kwenye Phamacies, zatibu mara moja! kazi njema kaka.

free-starpro
Автор

I started with a certifacate, then Diploma and now i have enrolled a degree.Of course am here to Thank the Almighty God🙏🙏.Thank you my big God, your daughter is happy

mytoohfreezer
Автор

Watching from Kenya be blessed Rajo for the good work and the whole choir
Proud to be a Catholic from my childhood till now God is indeed powerful 🙏🙏🙏

mamamaryiane
Автор

Am not a Catholic but I like the song so much, , utukufu apewe Mungu milele

jemimahkiboi
Автор

Kama Unahisi Huu wimbo Unafikisha ujumbe vilivyo... Naomba Uwache hapa likes..ziwe nyingi baada ya miaka 45 watoto wetu wakumbuke kulikuwa na kikundi kiitwacho Rajo Productions..Live Long Rajo Productions🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

kenyacatholicyouthmedia
Автор

If Kenyan can sing a song like this, tunaweza kwenda sisi sote mbinguni, am proud to be a Catholic ❤️❤️💪

barasamtali
Автор

My favourite song can't go a day without listening to this song, I feel so blessed, thank you brother, watching from Kenya

susanogone
Автор

Napenda sana wimbo huu.Kila asubuhi Lazima nisikilize na kuuimba.Mkatoliki daima kutoka Kenya🙏🙏Mungu anatupenda daima

pheminamusumba
Автор

Wewe Ray mambo yako yanatisha!😀😀😀
Kazi safi, wanakwaya wanapendeza, mcheza kinanda anang’aa!!! Soloist naye hatuongei mambo yake!😃🔥🔥
May God lift you higher uendelee kutibu mioyo yetu kwa nyimbo tamu kama hizi.
Hongereni sana kwa wote waliofanikisha kazi hii.👏👏👏👏👏👏👏👏👏

anastaciamuema
Автор

Love from Germany, feeling like flying all the way to join you guys. Be blessed so abundantly. Kazi ya Mungu iendelee daima. Proud Catholic forever, ❣️🙏😇🔥🔥🔥🔥

janewanguieisner
Автор

Wow am blessed with this song alot be blessed always my brothers and

paulinelokinei
Автор

I love this song so rajo kuenda far, 🙏

yvonne
Автор

Ujumbe wa wimbo, mpangilio wa sauti, mavazi na style ya kucheza vyote ni safi sana. Ni wimbo mzuri Sana, hongera kwa mtunzi na wahusika wote.

yovinampale
Автор

Wooowowow, , , what a great job!! I am proud to be catholic and i have never been tired of listening to this beautiful song!! Hongera wana kwaya kwa Wimbo mzuri, Hongera nyingi sana kwa mtunzi na kwa Soloist! Nawapenda sana Mbarikiwe.
Pokeeni salamu kutoka Kenya.

srhfjyp
Автор

Wimbo wenye kuponya, kusifu, kumtukuza Mungu kwa pamoja! Hongera kwa wote walioufanikisha, Mola awazidishie❤️❤️

st.alexandrokcauniversitychoir
Автор

What a prayer! Thank you for allowing us to connect with the Almighty through this song. Be blessed forever!

eneliamwampamba