Anastacia Muema- Wema Wako Wa Ajabu (Official Video)

preview_player
Показать описание
Hakuna jambo tunaloweza kulifikia katika maisha kama sio kwa Wema wa Mungu. Huruma ya Mungu kwetu ni Kubwa sana na ndiyo sababu tunapaswa kumshukuru kwa wema wake kwetu.

Ungana nami katika wimbo huu unaoitwa WEMA WAKO WA AJABU.
Wimbo huu umetungwa naye Angelo Kitosi, na kurekodiwa katika studio za RAJO Productions. Kinanda Kimechezwa na Ray Ufunguo.
Liturgical dance imefanywa na kikundi cha ARUSHA ELITE DANCERS.

Mungu wa Mbinguni atubariki sana.

Tradition: “Hehe Melody”

#trending #catholicgospelmusic #rajoproductions
#anastaciamuema
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

LYRICS.
Nilipoanza, nilijiuliza nitawezaje, kumbe ni wewe Mungu unaniongoza.
Hata wengine walijiuliza nitawezaje, kumbe ni wewe Mungu unaniongoza.

Wema wako wa ajabu Baba, mimi ninakushukuru aiye iye ninaimba mimi ninakushukuru, aiye ninasema asante mimi ninakushukuru wewe Mungu wa wokovu wangu mimi ninakushukuru aiye.

Niliposhinda kutoka mitego ya maadui, kumbe ni wewe Mungu unaniongoza
Na hata sasa nikitazama nilipofikia, kumbe ni wewe Mungu unaniongoza.

Kama sio wewe Bwana ningekuwa wapi leo, uliahidi utanibariki na umenibariki.

Kama sio wema wako ningekuwa wapi leo, uliahidi utanipigania na umenipigania.

Kama sio wewe Bwana ningekuwa wapi leo, uliahidi utanibariki na umenibariki.

Wema wako wa ajabu Baba, mimi ninakushukuru aiye iye ninaimba mimi ninakushukuru, aiye ninasema asante mimi ninakushukuru wewe Mungu wa wokovu wangu mimi ninakushukuru aiye.

anastaciamuema
Автор

Mungu wetu ana huruma nyingi sana kwetu. Tunapopitia shida kwenye maisha yetu, au watu fulani wanapotupiga vita kwenye maisha yetu, tusisahau kwamba yeye ndiye aliyetuumba na anajua hitaji la kila mmoja wetu na ana uwezo wa kufanya miujiza katika maisha yetu ili kunyamazisha wanaotupiga vita. Tunyenyekee mbele zake kwa moyo wa shukrani kila wakati. Tafadhali nipe sapoti yako kwa Kushare huu wimbo.🙏🙏🙏. Please watch the ads too😀😀. Please SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE WIDELY!
Nawapenda sana♥️♥️♥️
Pl

anastaciamuema
Автор

Your songs will bring back many to church, as catholics we are proud of you.
Indeed your songs are message from God🙏

sampee
Автор

Wow! Wow! My new favorite🔥🔥.. so so impressive, blessed indeed❤️❤️

kelsykerubo
Автор

Am not a Catholic, in fact an SDA but am addicted to this song🥰

maurinejebichii
Автор

What an amazing song 🔥🎵 👏. Great voices. Hongera sana Anastacia 👏👏👏. Keep it up. More anointing. Waouhh, creativity 🔥🔥

giselegiram
Автор

Annastacia Muema rocks the catholic solo voice. Such a talent is a blessing to many.
Thank you.
We are yearning for

alexandermwango
Автор

You're an inspiration to Kenyan Catholic singers. You sing so well. Thanks for representing us we'll in Tanzania. Mwiai Akuathime...

paulmukhwana
Автор

Huu wimbo unanilenga Mimi nilipoanza kazi mahali nikajiuliza nitaweza kweli lakini mungu aliniwezesha mpaka Sasa ni miaka saba nafanya apo tu

AngelAssenga
Автор

Najivunia kuwa muumini wa RC kizuri kisifiwe siku zote hii kwaya imenifanya nitamani kuimba kwaya kabisa. Dada kweli umeitumia sauti yako vizuri kumuimbia bwana HONGERA SANA KWA KAZI NZURI hii kwaya naisikiliza kila muda 😊🤝

doreenjoseph
Автор

This is an extraordinary performance! Angelic voices, excellent and churchic dressing style, the dancers did so well as if they have no bones within their bodies, instruments well organized coordinated and regulated, a well fitting and fascinating message. Congratulation to the producer, talented sister Annae, dancers and who ever involved. This is the song of the year to me

makaliuscharles
Автор

It's gratifying and heartwarming to see you profess your catholic faith through scintillating music. It truly puts you on the frontlines in the work of evangelization. Your music is like a well laid out buffet - it soothes, uplifts, entertains, teaches, and leads one to a deeper union with God through prayer. Keep doing what you do Anastacia. Very proud of you 👍🏽🙏🏽🙏🏽👌🏽

mjkinuthia
Автор

Wombo mtamu Sana... Kwa kweli ni Mungu ndiye anajua mipango aliyonayo juu ya maisha yetu. Asante kwa kutubariki na wimbo huu😍❤️
God bless you sister 🙏🏾
Keep on using your talent for the Glory of God.
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

chellahpretty
Автор

I not speaking your language but I like your gospel song so much good day my family for God

TchambianouNakpane
Автор

Listening to this when waiting for my son's 2 surgeries and so far undergone 2. And he's just 1 year few months.

Katrina-uqdl
Автор

You've blessed us with such an inspiring song as we begin our Sunday. Proud to be a Catholic# Be blessed girl🥰🥰🥰🙏🙏🙏

felistusfelicia
Автор

❤💕 Can't get enough of this song. Nimesikiza the whole of Yesterday and still on it.
The voices🔥🔥, content😍, production💞 is super awesome.

bernadettemwende
Автор

Mi ninakushukuru 😊

Hongera kwa kazi njema sana @Anastacia Muena. Karibu Shinyanga Tanzania 🇹🇿

plcss-tz
Автор

Am not a catholic but hii nayo imeniguza from tiktok

margerymunyi
Автор

Nakubuka Kuna siku nliwahi dharauliwa, nkatusiwa nkiitwa kwetu n maskini😢😢But let me tell you Mungu n nani😢😢Leo hii walionidharau wananioba nirudi kwao

maryMunyithya-xhdc