Holy Trinity Studio - Yanipasa Kumshukuru Mungu ( Official Music Video )

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asanteni jamani kwa huu wimbo mzuri. Halafu, mmejiremba kimila na pia mmetumia vyombo vya muziki wa kimila, ishara kwamba injili imeingia vizuri katika mila. Hongereni.

charlesmuvunga
Автор

2024 mwishoni mwa mwaka kbs naitizama nakuiskiliza nyimbo hii kwa uzuri zaidi mbarikiwe waimbaji

carolinep.maziku
Автор

Yaani utamaduni umeimarishwa katika huu wimbo. Am happy to be an African women where culture is practically done. Hugs from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

malaikajabali-ojfh
Автор

Ipo raha kubwa sana katika uimbaji mbarikiwe sana, kwa wimbo huu umenifanya nikumbuke kwaya yangu ya mt.Augustino k/ ndege Dodoma

angelynmkwawi
Автор

Kweli yatupasa kumshukuru mungu kila wakati....Amina. Sauti nzuri. Barikiweni

DjTijay
Автор

Kweli tushukuru mungu # Mnagusa sana likes zangu pokeeni# Viva viva wakristo wenzangu

diplodecentre
Автор

Great song. Congratulations Mt. Yuda Thedei, kweli nayakabidhi maisha yangu yako mikononi mwake. Holy Trinity thank you so much, huu wimbo it's on point. Yaani mmejua kuleta wimbo wa kututia motisha hasa wakati huu tunapopitia majaribu ya ugonjwa wa Covid-19. Mungu na azidi kuwabariki Sana, and be safe.

perpetuahmungai
Автор

Jamani wana Yuda Thadei hongereni...wimbo mtamu sana, lo!Sina hata la kuongeza, sichoki kuusikiza wimbo huu..wooooh, B Blessed Guys..frm Dubai, UAE.

antonynganga
Автор

Ongereni kwa kazi nzuri ya uinjirishaj kuimba ni kusali mara mbili

benethkatembwe
Автор

Safi safi waimbaji, mambo si ndio haya bhn, ubunifu tu, hongeren, Mungu asiwaangushe hata kidogo katika masomo yenu

julianamanimo
Автор

Nayakabidhi na maisha yangu yawe mikononi mwake

candymarandu
Автор

Tumshukuru Mungu kwa kila jambo❤amen 🙏 🎉🎉🎉

adelinelyaruu
Автор

Safi sana kwa huduma nzuri. One of the best catholic choir songs.

kimpalambapj
Автор

Wimbo mzuri sana . Hongeni sana kwa kuimba vzr. Nimebarikiwa kwanwimbo huu. Mungu awabariki muendeleze kipaji chenu

winniemunisi
Автор

Magnificent, divine and adorable. Kweli Mungu kanifanya jinsi nilivyo... Hallelujah lazima nimshukuru yeye

hildawekesa
Автор

kweli ni lazima nimsifu Mungu, wimbo, dansi na mavazi yanapendeza, Mungu amefurahia sana, nice song indeed #fromnarokkenya

peterkoileken
Автор

YEZU AHIMBAZWE. MURAKENUYE N AKA KARIRIMBO
MERCI BEAUCOUP, COURAGE

andrebaragunzwa
Автор

Kazi ni nzuri na Juhudi ilikuwa kubwa sana. Hakika kila ukiona vyaelea vimeundwa.

danielekisinza
Автор

Mwenyezi Mungu awabariki sana wote mlioshiriki kufanikisha wimbo huu mzuri 'Hakika yatupasa kushukuru kwake yeye alietuumba na kutufanya hivi tulivo...Amen.

newkilinge
Автор

Nibaeikiwe kupitia huu wimbo .Mungu Ni mwema Sana cna budi kumshukuru

agathaphoteen