ASANTE YESU

preview_player
Показать описание
#rajoproductions #miminaneema #rajoproductions #asanteyesu
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Signature of Rajo productions huyu piano guy wapi likes zake jameni

kemmieskitchen
Автор

This should go for 10 million views…i listen to it daily before going to work…Am leaving my comment so that 10 years later somebody would like my comment and remind me to play this song to my kids❤️❤️

annastaciamwai
Автор

Wanasabato wangapi tunasikiza hii wimbo👋

threebrothers..
Автор

I decided its my thanksgiving Sunday today 22/10/2023. I searced for songs in accordance, i opened this one and I settled for it for 2 hours on repeat now, I am a Namibian, i don't understand swahili but the interpretation i got from the holy spirit are keeping me convinced this is a powerful song! I love it... the melody, nimeupenda sana❤️❤️❤️

vistorinashetekela
Автор

kama hii ndio kazi tutafanya mbinguni 💕acha ninyooshe njia zangu naipenda

faithchelangat
Автор

Nabarikiwa sana, , , nawasikia kutoka Nairobi Kenya, Mungu ibariki Tanzania, ,,,our motherland

lucykisaka
Автор

A bored Catholic is a Pretender!
This is the song of the year 👏🏽👏🏽👏🏽
God bless you guys😘😘😘
Nawapenda saaaana from kenya😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
You guys are wonderfully wonderful 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍

christinephinarex
Автор

Hongera najivunia kuwa mkatoliki barikiweni sana

marywaithera
Автор

Enyi viumbe vyote
(Twendeni mbele zake Bwana)
Kwa moyo wa shukrani
(Twendeni mbele zake Bwana)

CHORUS
TWA kushukuru...
(Eeh Yesu, TWA kushukuru sana) x2
Kwa zawadi ya maisha, na baraka wanikiringia.
Ni upendo wa ajabu, ulonipa eeh Mungu wangu.
Nita imba kushukuru, kwa sauti na adha tamu.
Jina lako liktukuzwe milele na hata milele...
Asante Yesu wangu (x4)
TWA kushukuru
(Eeh Yesu..TWA kushukuru sanaa)

Kwa kinywa changu, Nita kushukuru na kukuimbia
Kwa wema wako ulonijalia maishani mwangu
Asante eeh Yesu (asante sanaa) x4

Chorus

Uliyonipa ni mengi sana siwezi kuhesabu (ah ee)
Kwa wema wako ulinijalia mimi mja wako
Asante eeh Yesu (asante sanaa)x4

Chorus

Na kurudishia Sifa na utukufu ewe Mungu (ah ee)
Uhimidiwe milele yote uhumidiwe Bwana.
Asante eeh Yesu (asante sana)x4

Chorus

END.

teejayangel
Автор

Who is here after seeing the soloist at MKM Gala in Nairobi. very powerful voices we heard from MKM choir led by BW. Benard Mukasa.

vickynash
Автор

Kazi Nzuri Ray pamoja na kundi mzima 💝

kakajokerosan
Автор

Who’s listening to this beautiful song in 2021. Hongereni waimbaji

georgemothemba
Автор

nice I would like to join that soloist...my vizuri sana....hizo boots and black googles..PIANIST YOU ARE

charleskimathi
Автор

Asante Yesu wangu... Kazi nzuri proud of kigango changu.. Kigango cha Mt luka mwinjili Olmatejo

frankbenedict
Автор

💃💃💃💃 Najivunia kua mkatoliki kwa kweli Najivunia Tena na Tena Good Music

eliasmalima
Автор

Ndiyo huu utunzi wenye upako...kongole Kwa kazi safii

cyrilologe
Автор

Najivunia kuwa mkatoliki, hakika wimbo mzuri sana na wote mlioshiriki ktk uandaaji wake kuanzia mtunzi hadi aliyewavisha, hongereni sana

lydiakubingwa
Автор

Hongereni sana wahusika wote. Mmeimba kwa umahiri mkubwa. Mmecheza kwa utulivu wa kuvutia sana. Big up guys

marieconnect
Автор

Wimbo ulio mtamu zaidi sauti nazo zavutia kwa kweli hongereni sana. You have done it

jacintamwende
Автор

Be blessed the one listening to this song always from Kenya❤❤❤❤❤❤

kangwananyangaresi