KWANINI ALIMTOA CHAMA?/HUYU HAPA KOCHA ROBERTIHNO AWEKA WAZI/'NAHITAJI MUDA ZAIDI'

preview_player
Показать описание
Ni Muendelezo wa Ligi kuu ya NBC ambapo leo Tarehe 18/1/2023 Simba SC anamenyana na Mbeya City katika Dimba la Benjamin Mkapa.

Mpenja Tv Tunakuletea Matukio yote yanayoendelea Kabla na baada ya Mtanange huo
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

I want Play and wine. I loved this. Kocha Bomba sana huyu. Philosophy yake ni kucheza na kushinda. Basi. Washabiki wa Simba acheni kufyatuka. Acheni mawenge. Acheni kulalamika kama Wana yanga. Mpeni kocha utulivu.

domisianlaurian
Автор

Ana wengee mno huy kochaa 😩😩 alitak kututukanisha tu mm nawashauri yanga wasijemuachia nabii nabii ameshajua game la bongo lilivyo

faidhamyovela
Автор

LEO TIMU IMECHEZA OVYO SANA TOFAUTI NA HUKO NYUMA. WEWE KOCHA KWANN UMTOE CHAMA?HAPO NDY UMEFELI. FUATILIA MAGOLI MENGI CHAMA AMEHUSIKA SANA

anithawidambe
Автор

Tanguliza mashangazi kaja Yako..👜💼💼💼🎒🎒🎒 airport kenge wewe✈️✈️✈️✈️✈️✈️✈️

molenicharles
Автор

Hapana timu haikucheza vizuri ila tumeshinda kwa neema za Mungu tu.

juliuswambura
Автор

Acha mchezo ligi ya bongo ni ngumu sana. cha msing umeshinda kocha hakuna timu rahisi

veelmng
Автор

Huyu Kocha maneno mingi ni mbabaishaji, he should be im Marketing Industry.

saidsuleiman
Автор

Strong team without chama it will be very difficult be carefully our coach.

franccoz
Автор

Tuna waandishi wa habari wa hovyo wasiojua hata kuuliza maswali ya kiufundi

evaristmassawe
Автор

Wewe unatengeneza timu acha mambo ya ajabu

yusufukim
Автор

Strong team for the future? Mbona kocha upo nyuma sana sisi tushamaliza kutengeneza team tunataka makombe sasa

peuoecy
Автор

Huyu akikutana na ihefu ntacheka sana 🤣🤣🤣😂

nacetsiringa
Автор

nipo pamoja na coach amn chama wala nn

rayannasibu
Автор

Nafikiri ameshalipata joto la nbc premire league, ajitahidi kupata ushauri kwa mgunda

yusuphsasamalo
Автор

Was it necessary for you to go Dubai for your preparation?

christianjohnmwalugaja
Автор

Uwezo wa Chama akiwa uwanjani ni sawa upo na wachezaji wawili na nusu sasa unapomtoa lazima uelewe ni kama umetoa wachezaji wawili na nusu.

saidsuleiman
Автор

Wewe hufai bora mgunda hajawahi Fanya hesabu mbaya utakuja ondoka na kipu denic hujui chama in nani

evalinalenga
Автор

Tupunguze kulalamika inamaana chama akiugua simba haichezi

ramadhansimtanda
Автор

...kama chama haingii kwenye mfumo wa kocha basi kocha aingie kwenye mfumo wa chama...akishindwa atuache na mgunda wetu.

hemedichabu
Автор

Uyu kocha mda so mrefu ataondoka madunduka ni mabingwa wa kufukuza makocha

ephraihassan