Kocha Simba kuponzwa na Chama,ni baada ya kumtoa nje,yeye aonesha msimamo apigilia msumari huu

preview_player
Показать описание
Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hatochukua round simba, simba ni chama

trillionthamani
Автор

Hili li timu ni la hovyo Sana yani chama ni mkubwa kuliko Simba yote hii ni maajabu😁😁

pacomezouzoua
Автор

Tz bhana! Kilammtu kocho ni nnchi pekee dunian kilammtu kocha af haifanyi vizuri kwenye socer alafu kama kilakitu tunajua mchukuen mwamedi Ally au K mziwanda awekocha

diodaud
Автор

Tanzania ndio nchi pekee ambayo kwanzia wachambuzi na mashabik wa mpira wote niwajuaji

eliyanorobeth
Автор

Kiu kweli namba hii timu ndoto kuchukua klabu msahauu huyoo chama atakuwa nanyi siku mashabiki acheni unazi wa kishabik

klylianthomas
Автор

Hakuna mchezaji mkubwa kuliko team au kocha

mafioso
Автор

WEWE KOCHA USILETE UJINGA MFATILIE CHAMA NIBORA SANA

anithawidambe
Автор

Kocha wanaleta wenyewe, af wanampangia jinsi ya kufanya kazi😂😂

vibetz
Автор

KWANN AMTOE CHAMA ?KWANZA WAMECHEZA OVYO SANA. TUNAMTAKA MGUNDA

anithawidambe
Автор

Ni kocha aingie kwenye mfumo wa Chama asitake kutuchosha bhana

HAKHASH
Автор

Ngoja yanga waifunge simba kazi inaishia hapo hapo

simontemba
Автор

Africa ita baki kuwa afrika Bara la watu wasio kuwa na akili upumbavu. sasa huyu kocha ame kosea nn? Basi mashabiki waifundishe wao simbaa...

wakatv
Автор

Soka la Africa na team za kiafrika hazitopataga maendeleo kamwe ndiomana tunafeli kila siku kwasababu hatuna subira, kocha ndo mechi yake ya kwanza, kapata ushindi eti kwasababu kamtoa chama kakosea 😆 kocha hapangiwi sijui Simba mtatimua makocha mpaka lini.

jaymandy
Автор

Mashabiki wa bongo bwana au huyo ndo mchawi wao mkubwa Simba? Kuna mchezaji ambae hawezi akatolewa? Mfumo wake kocha kama haviendani Anatolewa

MrTop-wjno
Автор

Sidhan kama ww ni shabiki wa soka laitu ungekuw mpenz wa soka bc ungeelewa tu sio lzm ulazimishwe

johnhanga
Автор

Kocha gan babu kiac hicho na akili zinarud nyuma

ibrahimsamson