🔴LIVE: KIMENUKA!!! WACHEZAJI WANENE KAMA MATENKI HAWAJITUMI/ KOCHA WA AJABU ANATOA ZAWADI KWA KIBU

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nawakubali sana mashabiki wenzangu kwasabb mnasema ukweli

allymwashambwa
Автор

Hahaha mitenki, umeongea na ujumbe utafika kwa kocha.

hatibbaraka
Автор

Tutabaki na jina lile lile la Madunduka bhana, hatuwezi kuwaita matanki, matanki jina hilo zuri, au mnasemaje wana, tuendelee na lile lile Madunduka FC

nassorosinde
Автор

Siyo mtani, unakutana na azam, singida big stars

agrirelieftanzania
Автор

Wanasimba tutulie kocha tumpe muda japokuwa inaumiza tumpe michezo miwili tu au mnasemaje wadau.

thomassengura
Автор

Ahsante makupenda msema kweli uko sahihi mtani wangu

halimamnavi
Автор

Simba wasipobebwa hawezi kushinda kila siku lazima kubebwa

drvaxminja
Автор

Yanga walicheza bila wachezaji muhimu wanne na wakashinda Sasa nyie kadi nyekundu na mtu mmoja tu kutokuwepo Tena kocha kaona apumzike atachoka sana tayari timu Iko hoi

hashimsaid
Автор

Litimu lenu ni libovu hilo msiingie na matokeo uwanjani nae leo manula kapokea bahasha

vincentkatonga
Автор

Hii ndo shida ya kumtegemea
Mchezaj
Moja mkubali mkatae cmba bila chama hakuna hakuna kitu.. 🙄 🙄🙄

shedrackfrank
Автор

Si mrienda Dubai jamani kwenye mazoezi? Eeet wenzenu wanasema eet mmechoka😂😂 ss mmechoka Nini? Wakati mrikuwa Dubai mnakula kuku😂😂😂

sarahsaimon
Автор

Hatuhitaji majaribio watu wanafukuzana na ubingwa hatutaki kabisa wakina kibu, kyombo, Nyoni na mkude

isaackaitira
Автор

Moteki tena makolo bwana munamajina wengi kwr

nasirkilapo
Автор

Mohamed Hussein umekuwa uchochoro na Manula unatuuza

isaackaitira
Автор

Kocha achane na wajinga wajinga wake wakina Nyoni, mkude, kyombo na kibu ni ujinga mtupu

isaackaitira