ALICHOKIFANYA CHAMA BAADA YA KUTOLEWA NA KOCHA, AKASIRIKA NA KUTOKA NJE YA UWANJA KABISA...

preview_player
Показать описание
ALICHOKIFANYA CHAMA BAADA YA KUTOLEWA NA KOCHA, AKASIRIKA NA KUTOKA NJE YA UWANJA KABISA...

MCHEZAJI wa Simba, Clatous Chama, ameonesha kuchukizwa na kitendo cha kocha Robertinho kumfanyia mabadiliko na kumuingiza Sakho.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kocha yuko vizuri sana. Hakuna mchezaji mkubwa zaidi ya timu wala zaidi ya kocha. Tunakupenda sana Chama lakini hatukufurahishwa na kitendo chako cha kutoka kabisa nje ya uwanja wa mpira. Ni utovu wa nizamu. Heshimu kazi yako na sheria zake kama hazijakuondolea utu wako #Simbanguvumoja

josephvenus
Автор

Mashabiki wa Simba tukiacha mihemko na kujifanya wajuaji uyu kocha atatufikisha mbali yuko vizuri

Frolianagabito
Автор

Simba ni kubwa kuliko mchezaji yoyote.

ALIMOHD-bklr
Автор

Mbona mgunda bado Ana uwezo wa kuisongesha timu kwani Imani ya wazungu wazee inatoka wapi ???

mkanulamajid
Автор

Simba meyakanyaga sasa kichapo kipo hapo chama akitoka 🙏🙏🙏

SonkoMolle-iftz
Автор

Ataondoka Chama na sio kocha wetu. Sasa hivi NDICHO KITAKACHOTOKEA.
ATAKE ASITAKE TUTAMHESHIMU AKIHESHI MASLAHI YA TAASISI

JilbertDanifordMathayo-sngy
Автор

Tatizo mandunduka mmemfanya ajione mkubwa kuliko kitu chochote cha ki-mandunduka. Mtajua sasa😅😅😅

OS-pfop
Автор

Sio poa kbx bora angemtoa kipindi cha pili

mxomalitz
Автор

Uyu #Chama ana muiga #cr7 alivyo fanya pale mau analolote kibongo bongo ni 😂😂😂

justinsamwel
Автор

Kila kocha ana mingapo yake, na hatakiwi kuingiliwa na mashabiki kutimiza mipango yake....Bado yupo kwenye kuwasoma wachezaji wake vizuri

digitalaffiliatemarketing
Автор

Congratulations 👏 for qood decion but few understand what do you want

philiponjalika
Автор

Ifike Mahali Mashabik wa Makolo muache kuabudu Wachezaji, Chama chama chama ye ndo nan, , Alaf msichokijua Chama anacheza soka la kizaman la anao anao, Anacheza na jukwaaa, Mpira wa kisasa hautaki show game

mwalungoakida
Автор

Chama ni kama mchezaji mwingine yeyote kocha kasema cku akiumwa yeye ni binadamu tu kama binadamu wengine

salvatoryboniface
Автор

HUYO KOCHA AANGALIE SANA ATAONDOKA SIO MUDA MUDA MREFU.

pascalpembamoto
Автор

Hyu kocha hypo seriuz ss ktk wte kaon amtoe chama kwel jmn...Chama ni mhm ndyo ktk timu ytu mkbl mkatae

fettysultana
Автор

Shida ya Timu yetu mnamwona mchezaji Ni Mkubwa kuliko Kocha

barikimollel
Автор

Yani simba na yanga watapata sana shida maana wanawaabudu wachezaji kupitiliza huku nikukosa nidhamu kabsa uwezi kushindana na kocha bwana kuwa kocha bac wewe ameona haupo vizuri kwahiyo siyo kwamba uwezi inaweza ila kwa sikuhiyo hauna mood

bahatimallya
Автор

Hapa hamna kocha
Huwezi niambia kibu ni Bora kuliko chamaa
Kiyombo nae

abumaryam
Автор

Chama anauchungu na Simba, na ni Simba damu, UTOPOLO mnatetea ili aje kwenu, ooh hana nidhamu. Chama na morson Nani Hana nidham?! Mbona mmemrejesha tena wakiri msomi. Kweli yeyote anaweza kutolewa, Ila wa kutoka alikuwa kibu na kyombo. na ukitaka kujua timu ya Simba ilikuwa butua butua, Ila chama huwa anatuliza timu. Pale kocha aliyumba, sema ashukuru kashinda, vinenevyo. Angekuwa ajui.

azizimangara
Автор

Nimefungua shida ya Simba uwepo uongozi uwapige marufuku kuisemea Simba mtandao I, mgunda wao na chama walisare mbeya mzungu kamchapa mbeya 3

mussalimbe