Diamond Platnumz 'Binadam' (Official HQ Audio Song)

preview_player
Показать описание

Listen & Share "Binadam" audio song by Diamond Platnumz.
Follow me on twitter: @diamondplatnumz
Subscribe to My Channel

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wangapi bado mnasikiliza hii ngoma 2024. ?? Gonga Like Hapa Chini??

dopplereffect
Автор

it's now 2024 na bado hatu kati tamaa huu wimbo hunipa morali vinoma mondi milele 💪💪💪

FrancisMukabwa
Автор

Bonge la Jimbo ....Aisee Diamond Big Up sana...Hii ni January 2024, ,,
I believe I'm gonna make it, , you're the proof of success

wyrebeg
Автор

2024 and still cant get enough of this masterpiece💯

swalehswaleh
Автор

Unaeisikiliza hii ngoma 2024 muda wa kuinuliwa sasa

damarisdawson
Автор

Moja kati ya nyimbo zake ambazo nazikubali zaidi. Huyu mwamba anajua kuimba anachokipitia maishani.

realtonny
Автор

walah hii nyimbo haichuji Nani anasikiliza 2018

jamesmoses
Автор

"ile nahangaika usiku kucha naambulia patupu nilikuwa
kidogo nakula na mama

winaswaty
Автор

#2023 and still banging Up with this Perfect Old shit ✌️!. #PLATNUMZDIAMOND

isaacbarnabas
Автор

Wangapi wanahisia kali katika hii nyimbo na bado wanasikiza tukiwa mwisho wa mwaka Dec 2022..?

zablonchiriba
Автор

Nani amekuja kusikiliza baada ya mama Daimond kukataa kwamba mzee Abdul siyo baba mzazi wa mond

coolbino
Автор

Nani mpaka sasa anasikiliza 2019 gonga like yako hapa binadamu wabaya hii ngoma kali. Jamani

godfreykingunge
Автор

sauti nzuri....maneno matamu...ukweli mtupu...waache wivu..mpaji ni Mungu

tanayiantan
Автор

Nani bado anaisikiliza hii hadi leo 2020 mwez 3 trh 19.. GONGA LIKE hapa🔥🔥🔥🔥

delize
Автор

Upendo kwa babangu ingawa alinikataa.Diamond u inspire me.God continue blessing u

sarahkaranjajoe
Автор

kidogo nakula n.a. mama yangu siwezi kuwasaau n.a. ndugu zangu
salamu zifike kwa baba yangu japo

izzygld
Автор

Hii ngomaa ni kalii sana na itabaki daima.. Km unasikiliza hadi sasa 2019 km mimi gonga like👍👍👍

idrisaomar
Автор

Hii ngoma ilivyotamu nashindwa cha kusema.. namimi napambana nadharauliwa ila ipo siku ntapata.🙏🙏

dorcaskidoti
Автор

mond kiukweli zamani ilikuwa unaimba nyimbo kali yaan ni realty kabisaaaa ya maisha yanayo tokea kwa watu wengi

selemanikapara
Автор

😢😢😢😢yanii huu mwimboo unaelezeaa historia zetu zakuhustle sn zile dharau na kejeli zao huwa nazisikiaa maskionii mwanguu😢😢

wardasalim