Diamond Platnumz 'Nalia Na Mengi' (Official HQ Audio Song)

preview_player
Показать описание

Listen & Share "Nalia Na Mengi" audio song by Diamond Platnumz.
Follow me on twitter: @diamondplatnumz
Subscribe to My Channel

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama.leo umekumbuka hii nyimbo ya Diamond nipeni likes apa kutoka kuwait...😅😅😅😊 Huyu jamaa kitambo alikuwa vzri

dzrwecc
Автор

Huyu ndo diamond ninaemjua Mimi, yaan mtu anaimba kwa hisia, yaan sijui nieleze vip, any way 2024 still naifeel

ednahsteven-cyfm
Автор

Ah jmn tuongee ule ukweli ... Kuna watu ni very talented asee.... Huyu jamaa yuko vzr kinoma yan kuanzia sauti, tune, beat, kuvaa In short this is smart. Gonga like km unakubali... I grant five 🌟 🌟 🌟🌟 🌟 s.

maliaannann
Автор

This song is lit. 2024 and still in my playlist. This is the diamond we all loved. ❤❤❤

Okengo_the_chess_master
Автор

The Diamond I fell in love with!! Who else is listening to it in 2022?? Holla please...

miriummichael
Автор

Nalia sababu ya mapenzi 😢.I'm always here to listen to this masterpiece 👏.🇰🇪well represented👌

LOJ
Автор

I still love this song 2021 anyone with me hands up🙋 mapenzi yanauma vibaya vibayaa

elvinelumumba
Автор

Nani yupo 2024 from suleimane Congo 🇨🇩🇨🇩

suleimanesivirwa
Автор

Akawa ananidanganyaa mie nikazan ananipendaa 😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪

anastaziamruma
Автор

Bado Inaniliwaza😢😢😢who's here with me in 2020??

arynxbaba
Автор

Tuliokuja hapa baadae ya stor ya Sara like tujuaneee

HosianaMsechu
Автор

Diamond tumecheza sana rudi kidogo na huku ..watu wanamiss nyimbo za hisia kama hizi..

gabrielambaruku
Автор

This track deserves a lifetime rotation status ❤

thomasmackenzie
Автор

kama umeuumizwa na mapenzi piga like hapo chini

youngbuda
Автор

Wakenya wenzangu kama unapenda hii nyimbo nipe likes hapa🥰

abelmwangangi
Автор

Najua alimaanisha kua simfai ila lakini angesema kuliko alichofanya mi akantoneshai akanimeza akatema😰😭😭😭😭😭 diamond you are awesome😍😘

baristamohammed
Автор

Mapenzi inakera banaa 😭😭 2019 anyone??

bevo
Автор

Mapenzi yaumiza cha kweli. Naomba tu uwe nami maulana Kwa muda mgumu ninaopitia😔😔😔

charlesmaina
Автор

Ila ni ghafla safari inanifanya usingizi sipati.. ila nakumbuka mbali nikiskia harufu yake ya marashi... <>wow that verse make mi feel like ananymous.. Infact ni kama true story kwangu.. Nani mwingine inamuusu a like hapa.

chrissy_Tv
Автор

GONGA LIKE KAMA ISHARA YA UPENDO KWA BROTHER CHID 2019💉🙏

abubakarimsere