Ntampata Wapi (Official Audio Song) - Diamond Platnumz

preview_player
Показать описание

Follow me on twitter: @diamondplatnumz

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

diamond nimekukubali coz kila unacho kifanya kinanigusa kwenye maisha yangu inakua kama unaniimbia mimi.

isaackjulius
Автор

kaka umeua mlengwa lazima ujumbe umfikie umetisha watakoma ni wasafi ndoo habari ya mjin

willylukas
Автор

Babaritto huna mpinzani mwanangu omba mungu kama IPO IPO tuuu ubarikiwe

husnashechonge
Автор

NO ONE LIKE YOU PLUTINUMZ MUNGU AKUPE UHAI MLEFU UZIDI KUTUBULUDISHA

kassimshabani
Автор

Iyo ngoma ya nita mpata wap true imenigusa balah mond we ni zaidi ya wingu no kama wew bro sauti ya raisi ilio mshinda ibilisi much respect

godsonurio
Автор

Kaka you are doing a very good job to be honest, ninachpenda toka kwako kwanza ni heshima kwenye kazi yako, pili upendo ulionao juu ya mama yako, tatu jinsi unavyoheshimu management yako na mwisho sisi mashabiki. Umeupeleka muziki wetu hatua nyingine kubwa na muhimu, Mungu akuweke salama daima brother. My favourite song ni my number one, hata ichezwe wapi nitatikisa kichwa tuu coz ur our number one. Respect kwako diamond platnumz.

francisngozingozi
Автор

Kaka nakukubali kwa sana mzito uko juuu

rajabriziki
Автор

Ila usiangalie ulipo kanyaga;angalia utakapo kanyagaaa

lusekelomwapasi
Автор

Na hii semeni kamwibia msanii mwenzake maana hawa wasanii wengne wana mambo kisenge wanasubiri wasanii wenzao waiembe waanze kusema wameibiwa nfyimbo zao. big up diamond.

hamednassor
Автор

You will get her somewere as Lord iz above"
Love de track

catherinekasyoka
Автор

Look diamond platnumz is the best arist I know in Tanzania and his ma favourite. im his bigest fan I have listend to his song ever since I was 13 and now I'm 16 through those yeah I have never seen anything wrong with his videos or videos is the best and they didn't have to a black girl in every single video he make. Everything is fine it shows that he wants something new not the same old can all see that there was alot of black people in the So stop the complete and like the video or you can just go away and say nothing. And all of you people hating on this video you all disappoint me on so many levels

jackdaniel
Автор

Utampata tu hpa africa.Mapenzi urogi DP

bravixbache
Автор

Iko poa sana dangote ww fundii wa muziki wa bongo fleva big up xana

lusekelomwapasi
Автор

What is the name of the model in this video clip? So beautifull😍👌🏽

yasmina
Автор

kaka ujuwe nn unajua bongofreva sijaona msani ambaye umepeleka mziki wa bongo mbali kiasi hiki ongera sana kaka

willylukas
Автор

Love you chibu mashallah big up my chibu

sapnagharib
Автор

Nimepende nani.... Second version! Thas what I can say.

dawsonrugalabamu
Автор

i love this video because of my lover girl

jalletibrahim
Автор

Hii ngoma ni shida big up chibu dagote checheeee!

saidmpanda
Автор

nashukuru bro ckunimetendwa kama vile ulijua hali yangu i lyk ur works big up sayz gery martin

zamdakissala