'NIMEKATWA MATITI, WALINIPA NUSU KAPUTI' - ANNA MIGILA

preview_player
Показать описание
Anna Migila ni mmoja wa mashujaa waliopambana na Saratani ambapo mwaka 2011 alibainika ana Saratani katika Matiti ambayo ilipekea akatwe Titi moja, huku akielezwa kwamba endapo angechelewa basi angepoteza maisha.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Inshaallah mngu akuzidishie umri mrefu

asmaafamau
Автор

Yesu mponyaji ahsante kwa ajili ya mama huyu na mama yangu pia tunapokea muujiza wa uponyaji.

vevo
Автор

inshallah allah atakupa urefu wa maisha ya zaidi mia ameen sio tisini kabisa

bimkubwaali
Автор

Pole na kila aliyo na maradhi ayo Allah ampe shifaa ya araka na subra na imani mungu yupo nac tucyumbishwe na shetani 🙏

mwanaishambili
Автор

Amin mwenyenzimungu hakupe na moyo uho uho

aminatanzania
Автор

Mungu ni mkuu kwa kila mwanadam, tabasam la huyu mama limerejea tena, hongera sana kwa kumtegemea Mungu na kumuamin, Mungu ataendelea kukushika mkono siku zote za maisha yako🙏nilichokipenda zaidi kutoka kwako uko na Mungu muda wote na hujatetereka kiimani, ahsanteni sana milardayo kwa kutujuza!!

ashurabakiri
Автор

pole dadaangu kumbee ndio maana huonekanagi Mara nyingine

ramlachove