filmov
tv
SATA: Matumizi ya dawa za usingizi ni salama
Показать описание
MATUMIZI YA DAWA ZA USINGIZI NI SALAMA: Chama cha Madaktari Bingwa wa Dawa za Usingizi nchini (SATA) kimewatoa hofu watanzania kuhusiana na dawa za usingizi wanazopewa wajawazito wakati wa upasuaji maarufu kwa jina la Nusu Kaputi kuwa ni salama kuliko inavyodhaniwa na baadhi ya watu kuwa dawa hizo zina madhara ya kiafya.
Hata hivyo SATA imeeleza kuwa visabibishi vinavyotokea baada ya hatua hiyo vinatokana na matumizi yasiyo sahihi ya sindano kulingana na wataalam wa eneo husika na kueleza kwamba ni vya kawaida na havina madhara makubwa. Kwa taarifa kamili Kakuru Msim kutoka MBEYA anaarifu zaidi.
#AzamNews #AzamTVUpdates
Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii