KAULI YA DK. MPOKI KUHUSU DAWA ZA NUSU KAPUTI

preview_player
Показать описание
KAULI YA DK. MPOKI KUHUSU DAWA ZA NUSU KAPUTI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dk Mpoki Ulisubisya, amefanya ziara kwenye Chuo Kikuu cha Tiba ya Afya Shirikishi, Muhimbili University of Health Allied Science (MUHAS) ambapo mbali na mambo mengine, amezungumzia kuhusu mkakati wa kuanzisha mtaala maalum kwa wataalamu wa dawa za usingizi kwa wagonjwa wanaofanyiwa upasuaji.

Pia ameelezea mikakati ya serikali katika kuongeza wataalamu wa afya ili kuboresha huduma zinazotolewa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na hospitali nyingine nchi nzima.

Рекомендации по теме