MALI ZA BILIONEA MSUYA ZAITESA FAMILIA,SERIKALI YAINGILIA KATI

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tukipata viongozi km hawa tz tutapenya karibuni bless

sadiqnasir
Автор

Aibu! Bibi kasema amemfuts Erasto na watoto wake lakini mpesa na mali za watoto wa Erasto anazitaka.

Sppah
Автор

Bibi babu mashangazi wote wezi tu wanatamaaa zakupata pesa

evamlay
Автор

God is great nimefurahi watoto mmerudi nyumbani

helenkambi
Автор

Sazingine Luna watu kusema urongo na waka aminiwa. Waachieni watoto Mali zao. Mwogopeni Mwenyezi Mungu

helenkambi
Автор

Dhaa kwel Tz ukifa watu wanagombania mali nakuto kujua uliishi vp mungu atuongoz 😢🙏

mussanjit
Автор

Yaan Mama, Baba na mashangazi sjui ukooo....wote mnaowadhulumu hawa watoto kwa sababu ya tamaaa na sio kwamba ni shida, mtakufa bila kutumia hzo hela ....yaan mama unapenda hela kuliko wajukuu wakoo????Mlaaaniwe milele😭😭😭

mumyhendry
Автор

Mkuu wakoa Mungu akubariki kwaekima yako mungu akupe miaka mingi yakuishi

emmanuelmajele
Автор

Nyie hamna aibu watoto wa kubwa hivo bado mnaingilia Mali zao kumbukeni na nyie ni marehemu watarajiwa pumbavu

dalianakerefu
Автор

yan acha tu nipite mana iyo miela wanayogombania hapo, , mm na familia yangu yote tunaishiaga kusikia kwenye taarifa za habari

FINGATanzania
Автор

Marehemu Msuya pumzika kwa Amani, familia imepata pigo imepoteza, baba,shangazi,mama anaozea jela, kwei mali ni fitina kubwa.

ziadaalute
Автор

Bibi anachanganya maneno na kigugumizi cha unyanganyi.Pesa kashagaiwa kila kitu anataka kivipi jamani Dunia simama ati anadai mashamba na manyumba muogopeni Mungu mgodi ni wa Bbake mnasema haya mashamba na nyumba mnadai shea gani nyinyi Mrungu anawavona harika

leokamil
Автор

Binadamu binadamu jmn dhuluma ya nn uyuuu Bibi inaonekan Ana kitu yanguuuu ili swala n kubwa Sana mungu pia aingilie katiiii uyu mama

josephgeorge
Автор

Wanandugu kuweni na haya na mumuogope mungu.hayo yote ni kwaajili ya Mali za marehemu. angelikua masikini jr mngegombea kulea hiyo familia yake kama mnavyofanya sasa?

karimabdul
Автор

Daaaah hiii familia bnaaa sahv wanajikuta wanauchungu na Hawa watt wangekua wanaumia kuhusu watt wasinge wafungia nyumba Hawa watto daaaah inauma cooo alafu kenge itoke huko ety nyo yaaaan Mali atafte baba yangu daaaah magufuri baba naomba ushughulike na hiii familia nataka I we fundishooo kwa wngne

lilianlukeisa
Автор

Yaan we mama nimekuchukia mpk bc kufungia wajukuu zako nje miaka 2 mpk sababu ya mali za baba yao na angali mmepewa milioni Mia nne we na mmeo lilivyo liroho eti linaitika ndio baba ndio baba kweli we ndo upepo wa kisulisuli

samsungj
Автор

Mmh! .
Jamani! . Hao wote wakati marehemu ana Pambana yeye na mke wake. Kwa kuji nyima kwa kula ugali na chumvi ... Huenda hata pia mke wa marehemu alikuwa ana funga na kuiombea baraka kwa familia yake. .. Leo hii watu wengine ambao hata pia yawezekana walikuwa wakiwa wabeza. .. Mungu onekana kwa hawa watoto.

noonelike
Автор

Huyu Bibi kichefu chefu penda wajuu kuu zako pambana mkweo Kama kweli alishiriki kuumuua mwanao Kama pia amesingiziwa basi hukum ya mungu itamshikia kwani dam ya mtuu haipoteii bure

husnaameen
Автор

Dhuluma tu kama mna uchungu na watoto wa marehemu mnafungaje nyumba yao ambayo kaacha baba yao, , , , mimi kama hakimu nasema kama siyo mtoto wa marehemu izo mali hazikuhusu kapambane na hali yako

naimanurdin
Автор

Dah, aibu xn, respect marehm ngurumo& tx moshi, , mliona mbl xn, , , , "kwny msiba wa fukara mambo hua xaf, lkn kw mwny mali n matatzo, ufkia ht ndg kutoelewana, , tunatoana roho ya raby ii kw mali alzoacha baba"

abdulmtitu