Rich Mavoko - Mtaa (Official Audio)

preview_player
Показать описание
Mtaa is Now Available on All Streaming Platforms:

Written & Performed by Rich Mavoko
Produced By Chibby Beats

Lyrics:
VERSE ONE
Ilala mabegani kwa mpaka Kariakoo
Kona kona za Jangwani kote pindi nasoma
Route Kimara nikimfuata Sarah kabla ya Tina anaishi Ubungo
Nikirudi zangu Temeke au Mbagala nkatafute Maseke
Mbio zangu za Kawe nitapita Mwenge kwenda Madale
Zama Tegeta Mbezi kwa Mikeka, twende Tabata kwa wala bata
Route Upanga kwa kujipanga, tutimbe Sinza kwa wajanja

CHORUS
Mi umenikuza mtaa
Umenifunza mtaa
Kabla sijakuwa star, umenilea mtaa

VERSE TWO
Mishe mishe Magomeni (yes)
Kwenda kufosi Kinondoni
Nakata kata Mikocheni
Bondeni naibukia kwa Macheni
Nakatiza barabara Mwananyamala, narudi Mtogole kwa kina Kipara
Pande za Buza, nishabaluza Kiwalani kumenikuza
Vingunguti, Kigamboni, Gongolamboto, mpaka Mtoni

CHORUS
Mi umenikuza mtaa
Umenifunza mtaa
Kabla sijakuwa star, umenilea mtaa

OUTRO
Chocho za Kigogo, Mabibo, Keko (umenikuza mtaa)
Tandale, Manzese, Oysterbay, Masaki, Chanika (umenilea mtaa)
Buguruni, Msasani, Kurasini (umenikuza mtaa)


Follow Rich Mavoko on:

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ukilike nakuja kusikiza tena. Sending love outta 🇰🇪🇰🇪

Laikipianbandit
Автор

Wa kwanza Mimi Leo wadau nipeni like Ata mbili tu wadau zanitosha

exsavermateus
Автор

Ni ngoma
Nipen like zanguu na mii jmn

paschalekagito
Автор

Hii ngoma ukiisikiliza unatamani iendelee ila ndo ivo Tena ila Goma kali sana mess 🎉Tusipoe Tena

Dullyone
Автор

Kali sana hi ngoma Kali sana bro 🔥🔥🔥🔥🔥💯🚀🚀🚀🚀🚀✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾

chidi_don
Автор

BILLIONARE KID🔥🔥🔥💯Huna BAYA let us enjoy Your TALENT🇹🇿🔥✅✅✅

Trestartz
Автор

Hili dude nimeludia mala tano na bado naludia Tena kusikiliza mwamba kaamua

MazoeaKassim
Автор

Daah rich mavoko jamaa atari sana, yaani katugusa sana sisi vijana wa mtaani, nimegundua kaka anaitaja dar zima

mustarwhite
Автор

Oyaa wee wazee wa doneshen wazee wa ungaunga mwana wanaelewa iyo ngoma🎉🎉

eneswaggy
Автор

Tunaoelewa nisisi tuliopo mtaani Oya wanang wa Boko

eduhmass
Автор

Kama unaamini hili dude zur gonga like

SalimuMganga-cbop
Автор

Goodman kid like hapa kama unamkubali mwamba mavoko

Oficial_Eredy
Автор

Una nyota kubwa ila wasafi walikufanyia ile kitu mfwate hamo akupe kurusa

amwokamacknol
Автор

Badman u king Usha dodosha kibao noma, twaizubiri video noma sana.

BonfaceKaberia