Rich Mavoko - Mtaa(Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Mtaa is Now Available on All Streaming Platforms:

Written & Performed by Rich Mavoko
Produced By Chibby Beats

Video Shot By SHYDEE

Lyrics:
VERSE ONE
Ilala mabegani kwa mpaka Kariakoo
Kona kona za Jangwani kote pindi nasoma
Route Kimara nikimfuata Sarah kabla ya Tina anaishi Ubungo
Nikirudi zangu Temeke au Mbagala nkatafute Maseke
Mbio zangu za Kawe nitapita Mwenge kwenda Madale
Zama Tegeta Mbezi kwa Mikeka, twende Tabata kwa wala bata
Route Upanga kwa kujipanga, tutimbe Sinza kwa wajanja

CHORUS
Mi umenikuza mtaa
Umenifunza mtaa
Kabla sijakuwa star, umenilea mtaa

VERSE TWO
Mishe mishe Magomeni (yes)
Kwenda kufosi Kinondoni
Nakata kata Mikocheni
Bondeni naibukia kwa Macheni
Nakatiza barabara Mwananyamala, narudi Mtogole kwa kina Kipara
Pande za Buza, nishabaluza Kiwalani kumenikuza
Vingunguti, Kigamboni, Gongolamboto, mpaka Mtoni

CHORUS
Mi umenikuza mtaa
Umenifunza mtaa
Kabla sijakuwa star, umenilea mtaa

OUTRO
Chocho za Kigogo, Mabibo, Keko (umenikuza mtaa)
Tandale, Manzese, Oysterbay, Masaki, Chanika (umenilea mtaa)
Buguruni, Msasani, Kurasini (umenikuza mtaa)


Follow Rich Mavoko on:

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Thanks For the Support wanangu wa Kitaa!! Comment hapo Chini ni Verse ipi umeipenda zaidi kwenye "Mtaa"... Share na wana wa Kitaa waenjoy mziki mzuri!!

BillioneaKid
Автор

Oooya me naesabu like za bilionea kid mavoko 🔥like zake 👍

geohmakerseven
Автор

Tukubali sisi kama Wakenya hii game ya mangoma Watanzania wamechukua. Sisi tumedoze kabisa. Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪

jonanmbella
Автор

Mtaa vibes Kinshasa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

Mr_G_Amarc
Автор

Oyaa Gee hili ngomaa nexttt ankooo na moviesee hili nomaaa🎉😮

Edison-zyhj
Автор

Oyah my G nakukubali sana, inatufunza Mitaa

AshrafuMzagu
Автор

Kenya tunakukubali...Simba wewe🔥🔥....Wasafi walidhani watakufelisha kumbe wapi....mwanangu uko vizuri...Kenya tunakukubali🔥🔥🔥❤❤...Alafu chibi kwa beat kaua♥️♥️🥺🥺🥺🔥🔥🔥🥺

RoyAshuma
Автор

UYU JAMAA NI SUPER STAR NA MSANII WANGU BORA WA MUDA WOTE TENA KABLA YA HAO MNAOWAONA NI MUNGU WA MUZIKI, MIMI NI SHABIKI YAKE AMBAYE SIWEZI KUMSALITI MILELE. ❤❤

johannesssamsonambogo
Автор

Oae Richi umeridi wamoto saan
Baruuza baruuza 🔥🔥🔥

JamesNailsTzJamesNailsTz
Автор

Welcome back Rich Mavoko Burundi tunakupenda sana bro!!

jonasirankundah
Автор

Umeua Rich....Kenya we love our own ✍️💥💥💥💤

SolomonKatana
Автор

Hili dude noma kwanza kama una drive usiku wa manane hatari sana More blessings 🎉🎉🎉 respect from 254

IssaChambo
Автор

Kama unaamin huyu jamaa kalud Kwa kas ya abood gonga ma like hapa

CharlesNdimila
Автор

Ndo namjua Leo, wallahi ni mkali..big up bro..all the way from Baringo we support you

ronnykalaa
Автор

yaani nampenda huyu mwamba tangu zamani maanake vocal za wee usimwambie mtu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

whitetigerprincy
Автор

huyu mesi ndomsanii wangu namba moja duniani safi kwabuludani nzuri mtaa ningomakali sana wekalaiki kama kama kweli shabiki walichi mavoko 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👑

mudywaya
Автор

Welcm back bro we miss u ur music since the day you stay along time without been held..love from malawi

chanvepeter