Rich Mavoko ft Fid Q _ Sheri (Official Video)

preview_player
Показать описание
Talented Tanzanian Artist Rich Mavoko features the legendary MC fid Q on this single Sheri
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hivi hili jamaa rich mavoko haki ulkuwa unaweza sana, why now mavoko haupo kwenye game dah, Mungu mtangulie huu jamaa aamke tena tumemic sound zako bro dah🙏🙏🙏🙏

RomaMichael-eidi
Автор

wenye tume skiza hii ngoma hii mwezi wapi likes??

MamaIvy-fs
Автор

2024 kuna kitu nimemiss nikaona nije skiaa

ElizabethKalukula
Автор

2024 ❤who is here to hear this this?piga like tukisonga

kavinyakinyamasyo
Автор

Kaka unakipaji sana we ni bonge la msanii

rambostalon
Автор

Don't know what happened to rich mavoko but these song was a vibe...still my favorite hadi sahii
...

ericondego
Автор

Ifeel kaniko Dubai tunakula nyama choma.babe umeniweza nawe tukaruke na magomaa..for real nitaondoka nawee hatakama ukigomaa..2024 naicheki.

blezywatino
Автор

Huyu mwamba Richardy nahisi yupo so underated

silasmwamburi
Автор

Vidio vixen ni marufu vile any work she touches in boom ku boom🎉🎉

emmanuelmage
Автор

Msanii bora mwenye rings za kipekee hatokei nchi hii makopa kwa rich mavoko

saidmohd
Автор

Diamond mchawi mavoko kapotea kabisa wewe jaman Ushawi upo

InnocentJames-cezz
Автор

Weka mbali na Watoto hii ngoma....2024❤❤

AzizaSamwel
Автор

Ngoma utafkiri ime toka jana usiku imeendah kbs

PatrickDilla-vpmf
Автор

2024.... still loving this track❤❤❤... 🇰🇪

Getafex
Автор

Utomvu wa mgomba unatoka wapi kwenye nidhamu. Sheri mutima na ngai Button

Excel-Elevation-School
Автор

For real ntaondoka nawewe hata ukigoma

Maxamednunexassan
Автор

Louise from kigali, kutoka zamani mpaka Reo, nakupenda sana

uwaselouise
Автор

Thanks for Spotify for introducing this song to me, good song love from Nigeria please I need the karaoke 🥰🤣

frankoru