KITU DIAMOND PLATNUMZ AMEFANYA BAADA YA KUPANDISHWA KWENYE STAGE NA BARNABA, NA KUTUNZWA HELA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Milard ayo ni mtu mwenye kujua fursa na kuifuata popote ilipo so hongera bro👏

nellybanks
Автор

KWA SASA MASHABIKI WENZANGU WA WCB AYO TV ANAMDA KIDOGO KARUDI KUSAPOTI KAZI ZETU ZA WCB HVYO TUSIMTUKANE NA KUDHIHAKI KWANI TULICHOKUWA TUNATAKA NI SAPOTI NA NDO IYO IVYO TUMUUNGE MKONO AYO TV NA SI MATUSI.

babylonyNgwembe
Автор

DIAMOND PLATINUM ni maji lazima tuuuu wawashwe japo kua umekata kata vipande

mansulkassim
Автор

Miladayo unashobo Sana kaka maana wewe miaka 5 yote hiyo hajawahi sapoti chochote kutoka kwa diamond platnum ila sikuhizi umekua na shobo Sana kaka unazingua kaa na clouds yako bwana 💪💪 Kama unataka kufanya kazi naee kamwombe musamaha tu maana diamond hanaga royo mbaya Kama za watu wa clouds jifunze kubalansi shobo Mr. One Love wasafifm wasafitv wasafi media lete like yako hapa kwa Wana wa WCB wasafi

barakahyoungmaster
Автор

Mondi ni jini aise yani kamfunika mwenye show daah😂😂

silaskirui
Автор

Kama ulimuona aniemletea kipaza sauti Barnaba ukamfananisha naalivyovaa mond ukasema bosa nahuyo. Wekalike niwaone

kijolysahaly
Автор

I like it B&D hope for a collaboration

optatonesphory
Автор

Barnaba shabaki wa mziki wake kila siku wanatamani itokee collabo yake na diamond' course itatokea bonge la ngoma na diamond aiimbe kwa tone ya zamani kama hapo" shida inakuja hofu ya kufunikana

davidibrahim
Автор

Zile kelele kwamba imba live bado zipo??

omarymajuala
Автор

Fundi kama fundi Barnaba Boy Classic Unajua sana hadi unaboa

kilulumasunga
Автор

Yafahamu Makosa 10 wanayoyafanya watu wenye YOUTUBE channel👇👇

bundukitv
Автор

Barnaba siku mtapiga colabo na chibu nitabambikaaa timizeni raha yangu

raul
Автор

Duh....msinisimange chonde...nimeelewa dia katuzwa hela na shabiki kazipotezea na wala hajaziokota!!?! Nyie maisha haya mie nataman ile msimbaz hata moja tu maisha yawe rahis yy

esperancakombat
Автор

Millard punguza unafiki, bifu la Clouds na Diamond lilikuwa linakuwashia nn???

Mmeona WCB inapaa ndo mnaanza kujipendekeza, , nyambaff nyie

tycoon
Автор

DAWA YA ALKALINE kiboko ya kibamia..na nguvu za kiume .
Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya kibamia na nguvu za kiume kw asilimia100 % kama ifuatavyo.

1⃣ kuwa na dhakar ndogo/fupi na nyembamba yaani kibamia
2⃣ dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo
3⃣ mishipa iliyolegea kwa kujichua nk

4⃣ kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka
5⃣ Inarutubisha mbegu na kuziboresha
6⃣ Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( sperm mobility)
7⃣Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika
8⃣Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU)
9⃣ Inaongeza idadi ya mbegu za kiume
🔟 Inarutubisha mayai
NB: HAINA MADHARA NI LISHE NA MMEA SALAMA
Epuka aibu hii tumia" ALKALINE " ndio kiboko yao
Karibuni sana ofisini kwetu msaada zaidi
Wasiliana kwa 0622945360 /whatsapp 0719174248

catholicvibemusic
Автор

Alafu THT ndio muendelee kujidanganya tena mnatengeneza msanii wa kushindana na huyo kiumbe. Baba yenu kafa bila kuweza nyie watoto ndo mtaweza!

eladiuspeter
Автор

Millard Ayo acha Mambo ya aibu hata Show zake uwe unapost sis tulisha kusamehe

jaydon
Автор

MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA

(1)kuvurugika kwa hedhi

(2) Kuumwa kichwa mara kwa mara.

(3) Kizunguzungu

(4) Kichefuchefu

(5) Kuongezeka uzito mkubwa

(6) Kupunguza hamu ya tendo la ndoa

(7) Kusababisha Uvimbe kwenye kizazi(fibroids)

MADHARA YA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA

(1) Huathiri fuko la uzazi kwa ndani na kusababisha uvimbe

(2) Kuongeza uzito wa ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga

(3) Kuumwa kichwa mara kwa mara

(4) Kupata kichefuchefu

(5) Kutopata hedhi kwa baadhi ya wanawake

(6) Kubadilisha mwenendo wa damu

(7) Kuliathiri ini kidogo kidogo

(8) Kupata kisukari

(9) Kupata ugonjwa wa moyo

(10) Kupooza upande mmoja wa mwili.

(11) Kupunguza hamu ya tendo la ndoa

MADHARA YA KITANZI

(1) Utokaji ovyo wa damu

(2)Kutoboka fuko la uzazi

(3) Kuongezeka kwa upana wa uke na kuifungua lupa na kufungwa kwa uzazi.

(4) Kitanzi kufyatuka na kusababisha upasuaji

(5) Kuondoa hamu tendo la ndoa

*MADHARA YA KIJITI*

(1) Husababisha kansa

(2)kupata hedhi ndani ya mwezi mmoja mara mbili

(3) Shinikizo la damu

(4) Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.

(5) Kusababisha ukavu uliopitiliza kwenye uke hivyo kusababisha vidonda

(6) Kupunguza kwa kasi kubwa hamu ya tendo la ndoa

*CHUKUA TAHADHARI EWE MWANAMKE UNAATHIRIKA BILA KUJUA*
♦️Mwisho napenda kuwashauri wanawake wote hasa hasa wale ambao bado hawajazaa kabisa kuepukana na matumizi ya hizi njia za kisasa za uzazi wa mpango kwa kuwa mara nyingi wengi ambao wanatumia njia hizi wamekuwa wakipatwa na matatizo makubwa kutokana na Kuvurugika kwa mfumo wa homoni mwilini lakini wakati mwingine pia wengi wao wamekuwa wagumba na kushindwa kupata watoto tena kabisa kutokana na kushindwa kupata tiba sahihi ya kutibu tatizo baada ya kuacha matumizi yake.
✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼
Kama umepata changamoto mbali mbali kutokana na matumizi ya njia hizi kwa mda mrefu karibu uweze kupata tiba na ushauri ambao utakusaidia uweze kuondokana na tatizo lako na uweze kurudi katika hali yako ya mwanzo

Na pia kama unasumbuliwa na changamoto mbali mbali za uzazi na unahitaji ushauri na tiba wasiliana nasi kupitia nambari

Whtsp 0719174248 / call 0622945360

catholicvibemusic
Автор

Ona hapa diva kampa diamond tuzo ya mwanamuziki bora wa kiume 👇👇👇👇👇👇👇👇👇#Diva ampa tuzo #Diamond Platnumz nakumuandikia ujembe huu mzito

RommyCareMovies