IMEVUJISHWA VIDEO YA DIAMOND PLATNUMZ NA DIDDY

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hii video ya diamond niya party ya swizbit wacha kudanganya sio ya diddy.

yusufnyawa
Автор

Kinacho shangaza iyo pati warikuwa Wana cheza wanaume Kwa wanaume maanake nn huruma jb huenda iyo list yote ya mashoga

IzackNtovyi
Автор

Anatia aibu wasanii wenzie tamaa mbele uwezo wa kuimba mdogo 3:53 3:53 3:53

abdulazizmohammed-fdmj
Автор

Xiyo vizur kumchafua diamond jaman hiv mnamchukuliaj jaman embu achen kumchafulia star we2 bhan mond hanag hizo pgo za kxhamba namn hyo

AminaBaraka-xb
Автор

Siku zote Tamaaa anatakiwa awe nayo mwanamke mwanaume ukiwa na Tamaaa unaliweka vutu rehani😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

HussainMaula-fb
Автор

Mmmmmh mwenye kubeba dhambi ni yule mwenye dhanna mbaya kwa mwenzake ndii mana ukaambiwa anaeibiwa ndii anaepata dhambi kwa sababu hajuu aliemuibia ila anadhani tu ni fulani ameiba

JokhaJokhaabla
Автор

Kwa iyo ulikuwa ukienda TU kwenye hizo party ndio unabakwa na p Diddy au kwenye hizo party ni za kuamasisha ushoga? maana kama kwenye party watu wanakuga wengi Sasa p alikuwa anawaingilia wote au hizo party zilikuwa na mashoga na waume zao?

SalmaMitonga
Автор

ao wako kwenye ulimwengu wa giza APO so uo uchafu sio wa kawaida

jacklinezombo
Автор

jamani jamani mtatenda dhambi bure kwa hili maana hatujaona mondi hata kukumbatiwa au kuchezea kama wengine kwa jinsi tulivyoona msimtukane bure subirini yaani haiwezekani eti Kila alienda kafanyiwa hapana na hiyo listi hata kwenye maharusi tunazizo list za wageni waalikwa

MwanaidiAlly-qj
Автор

Hawa wat hivi wamesahau kua kuna mwisho wa dunia ee mwenyezimung wasameh hawa wat kwamakosa wanayoyafany inshaallah

ShabaniJuma-kf
Автор

Kwani kwenda kwa P didiy ndo kutatuliwa marinda acheni kumchafua Diamond hivi mnamchukuliaje acheni hizo pigo

LAZAROSEBASTIAN-jp
Автор

Kaka hamnaga stori kaeni kimya na usenge wenu wa vichwa vya habari et video ya pdd na daimond imevuja haya ndobimevuja nn hapo

NgoyFahma
Автор

Mond chukulia hatua hili suala kisheria ila mti wenye matunda lazima upigwe mawe c kila mtu anapenda mafanikio ya mwenzie❤

Shabani-kv
Автор

Ndio nini wabongo mna mambo ya ovyo mnatumia muda mwingi sana kumtafakali mtu kwanini amekua namafanikio Yani Ata umu tunapoishi ukibadilika kimaisha mambo yakiwa safi lazima uchunguzwe uyu kapata wapi ela jamabz uyu tapeli uyu mchawi uyu kamtoa kafala mtoto wake Yani roho mbaya tu ime wajaa Amna chochote chamaana

MagaliKiswili-bjyz
Автор

Kwani kuongea na mtu ndio kuhusishwa na matendo acheni uswahili

samwa
Автор

Mnyama ashafanyiwa kweli awe tajiri namba Moja Dunia ukhabithi ndio mwingi

AliNgao-rj
Автор

Ivi R Kelly si yupo jela 😮😮😮 nimezoom nimeona jina lake apo kwa list😂😢

stellahrajabu
Автор

😂😂 pamoja na kusoma comment na video sielew kitu mimi

MariaKazimily
Автор

+ Oprah + Ellen Degeneres + Barack Obama + Legend + Prince Harry

occham
Автор

Sasa shida ni Diamond kuwa kwa Dydi ama

CharlesRehani