Lady Jaydee - MACHOZI (Official Audio) Sms 8907117 to 15577 Vodacom Tz

preview_player
Показать описание
#ladyjaydee#machozi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Humu sister jide ulionesha ufundi wa hali ya juu hizo vocal watt wa leo hawaziwez

maulidrehani
Автор

Leo 13/6/2024 naisikilizia hii nyimbo namkumbuka shem wang kwenye mambo yang magum nakuwaga nayee

lktbfqe
Автор

Ghafla nimemkumbuka X wangu tuliyeachana 2001 Ninaposikia nyimbo Hii mpaka Sasa sijapata wakuliziba pengo lake❤❤

rymzurb
Автор

wao sounds very new every day in ears amazing track

castomlingi
Автор

Utamu wa nyimbo hii wanaujuwa wale wa mwaka 2001 mpo jamani

asiasuleman
Автор

Daah nakumbuka Mbali Sana cater big up

japhetjafet
Автор

Hii itabiki juuuu mawinguniii! More fire!

kassembotz
Автор

since i was kids i grow up as lover for lady jay dee, i use to listen to this song 17 years ago and now still exist

abodetidings
Автор

Old is Gold big up my sister kwa kipaji chako ninakumbuka Zamani nikiwa nasikiliza hii song

mohamedomary
Автор

Leo tarehe 24/1/2024 Jumatano. ndio nausikiliza huu wimbo. Acha hii comment iwe kumbukumbu kwenu vizazi vijavyo.

by. Amani Dimile

misemoyahekima
Автор

Hakuwah tokea Muimbaji kama jide labda miaka 30 ijayo huu wimbo huwa nalia nkiskia

pxtbcel
Автор

This was my favourite and still I love this

zuwenasinnan
Автор

Wimbo wa zamani but bado una bambaaa ile mby

salha.d
Автор

Kuna muvi flan ka act monalisa ina soundtrack ya huu wimbo nakumbuka mbali sana🔥🔥

t.h.u.g
Автор

hii nyimbo toka 1994 lkn mpka leo 2020 bado tamu shikamoon wasanii wakongwee

maftahgerald
Автор

Dada jide hii ngoma nakumbuka mbali sn nakumbuka kipindi hicho nlkuw na miaka 6 🔥🔥🔥🔥

Back the days

I remember this song was released at 2000 I was too child with 6 years old

My sister she loved to sing this song all time

I love you sister jide commando

God may continue to bless you my sister

mzeewajambo